Mbona mmetaka ziwafukuza akina Halima mmegonga Mwamba?
Eti Mnataka Rais atoe maelekezo mahakamani hili halipo.
Mahakama zetu ni huru sana.
Ni kweli, lakini hata hizo kesi zikiamuliwa kwenye mahakama za US bado zitaaminika kuliko hizi za CCM.Kama hoja ni mbona hata US nao ni wanachama?
Migogoro yote ya kibiashara za kimataifa zinatatuliwa na ICSID
Unataka Wafanywaje akina Halima Mkuu?
Lissu Hana akili?. Definition ya akili ni Nini? Kapata division 1 0 level and A level, kapata hons bachelor na kapata distinction Warwick. Kama hana akili na kapata vyote hivi je, wewe umepata Nini?.
Usiwe mwepesi wa kutamka maneno Kama huna uhakika. Angekuwa Hana akili asinge limwa risasi na serikali dhalimu na mwishowe dhalimu akadondoka yeye.
Kwahiyo unaomba Lissu akusamhe??
Kafulila anafanya kazi nzuri Sana kwa sasa,Wasalaam wana wa Mungu.
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu, David Zacharia Kafulila, amekosoa kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu A Lissu kuhusu hoja ya kesi ya kukamatwa kwa Ndege na zingine mashauli yake kushughulikiwa kwenye Mabaraza ya Usuluhishi ya kibiashara kama ICSID- international Center For Settlement of Investment Disputes.
====
Akikosoa kauli hiyo, David Zacharia Kafulila amenukuliwa kwenye mtandao wa tweeter akiandika haya " Sitaki kujadili suala la kesi, naomba nijadili suala moja tu la uelewa kuhusu ICSID na Uanachama wake kwani Tundu A Lissu amepotosha katika hilo na huenda akawafanya wasiofahamu kuamini kwamba Tanzania ni mwanachama wa ICSID kwa Sababu ya Udhaifu wa Mahakama na Serikali ya Tanzania katika kusimamia Uhuru wa Mahakama.
Tundu A Lissu alinukuliwa kupitia ClubHouse akieleza kuwa " Lazma ieleweke kuwa sababu ya mashauri haya ya mikataba baina yetu na kampuni za nje kushughulikiwa kwenye mabaraza haya ya usuluhishi wa migogoro ya biashara na uwekezaji kama ICSID inatokana na tabia ya Serikali yetu ikiwa chini ya JPM na hata Samia kuingilia mambo ya mahakama na hivyo mahakama kukosa uhuru. Hivyo mahakama zetu haziaminiki, serikali yetu haiaminiki, hatuaminiki kwasababu ya rushwa za majaji na kuingiliwa na Ikulu. ndio sababu mashauri haya yanamuliwa ICSID "
Tundu A. Lissu ambae ni M/kiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na aliyekuwa Mgombea wa Urais wa JMT aliyepata kura kiduchu sana katika Uchaguzi Mkuu uliyopita wa 2020, ambaye pia ni Kiongozi wa Chama cha Siasa pekee ambaye familia yake yote ni Raia wa Marekani ameonekana mara zote kuwa upande wa mataifa ya nje kuliko taifa lake.
David Zacharia Kafulila anatoa mfano wa nchi kubwa kama Marekani na Uchina zikiwa nchi wanachama wa ICSID kama ilivyo kwa Tanzania pamoja na nchi nyingine zaidi ya 166 kumuuliza Tundu A. Lissu kuwa nchi zote hizi Mahakama zao zinaingiliwa kama ilivyo kwa Tanzania ama ni utaratibu tu wa hiari wa kiusuluhishi uliowekwa Duniani katika kuoneaha imani kwa wawekezaji hasa wa nje?
Hoja ya David Zacharia Kafulila kwa Tundu A. Lissu ni kwamba kama Tanzania Mahakama zake siyo huru ndiyo sababu kesi za migogogro ya kibiashara zinafanyikia nje kwenye tume hii ya ICSID. Je, Marekani na Uchina ambazo nazo kesi zao za migogogro ya kibiashara zinafanyikia huko huko ICSID tulikopelekwa sisi kwa hoja ya hiyo ya Lissu anataka tuamini pia kuwa Mahakama za mataifa haya pia haziko huru?
" Lissu acha kuzipaka matope Mahakamani za Tanzania, unataka kutuambia US & China ambao nao ni wanachama wa ICSID Mahakama zao zinaingiliwa ?"
View attachment 2433362View attachment 2433363
Utamuelewaje wakati huna akili ya kumuelewa?Lissu huyu huwa simwelewi kabisa
Hahaa tumbili anawapigia gitaa waliomwita tumbili,waafrika wako tayari kuaibika kisa maslahi wacha tudharauliwe.Huyu tumbili naye anahangaika ili akumbukwe kwenye teuzi, na akiangaliakesi inayomhusu mkewe imekaa vibaya anahangaika sana kujinusuru. Kafulila angefuata mfano wa Ali Hapi wa kwenda kulima tu.
Lisu amsamehe nani kwani waliompiga risasi wamejitokeza na kuomba msamahaTatizo la Ndg yetu Lissu ni Chuki
Hata vitabu vya Mungu vinatuasa kusameheana
Mungu amsaidie moyo wa kusameheana
Ya kuwa tunapelekwa kwenye arbitration ni kwa sababu ya wawekezaji kuogopa sheria za nchi husika. Sasa mbona kuna kesi za Saudia Arabia, Egypt, Italy, Spain, Hungry na other EU states ambazo kama ukubaliani na maamuzi ya mahakama zao unaweza kukataa rufa mpaka mahakama ya EU Brussel na bado zimepelekwa ICSID.Unaongea nini ndugu? Mbona unachoeleza ndicho alichodadavua Lissu tena kwa undani zaidi?Au hujasikia clip yake? Au ni chuki zako tu kwake? Wewe ni wa kumfundisha sheria Lissu kweli?
Arbitration sio public hearing kama mahakama unazozijua wewe, ni private hearing wanaoingia ni involved parties only.Wewe ndio unalisha watu matango pori. Hiyo sio private entity ni entity inayotmbulika under international dispute resolution ndio maana kabla ya Magufuli kuingia Investment Act iliitambua hiyo mahakama, na Tanzania ni mwanachama.
Umeshawahi kupigwa risasi?Asiposamehe, asifikiri anamkomoa JPM au yeyote. Anajikomoa yeye. Maana unaposamehe katika maisha haya, unakuwa unajitendea wema mwenyewe. Vinginevyo chuki zikizidi ndizo zitakazo muua, licha ya kuwa alipona risasi za Dodoma.
Umeshawahi kupigwa risasi?
Wewe ndiyo ulimpiga lissu risasi so unamuomba akusamehe???Lkn haina uhusiano wa yeye kusamehe. Vinginevyo maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua. Akiamua kujifungia kwenye gereza la chuki na kisasi, uamuzi unabakia mikononi mwa Tundu.
Mku umefafanua vizuri sana kila mmoja hapo ana maamuzi yake kwa sasa kati ya Baba na Watoto unaweza kujua umri wa hao watoto.Lissu ni raia wa Tanzania, ila watoto wake ni raia wa marekni wa kuzaliwa
Wewe ndiyo ulimpiga lissu risasi so unamuomba akusamehe???
Guiltiness inakusumbua eeh?Usiendelee kuongea na mimi kama unajiona una uwezo mdogo wa kufikiri au kutumia akili vizuri.
Nimekushauri kwa heshima tu.
Sasa tujibaki kwenye logic ya kawaida.... Kati ya Tundu lissu na kafulila ni yupi mzalendo wa kweli. ...Wasalaam wana wa Mungu.