Kafulila: Mwaka mmoja tu wa Rais Samia mauzo ya bidhaa na huduma nje yameongezeka kwa US$ 2.8bl Sawa na Shilingi trilioni 6

Na hiki ndio kiini cha ngonjera zote za tumbili....njaa!
Hayo mauzo nayaona ni namba tu.
Mwananchi wa kawaida bado anasulubika.
Kweli njaa yako inaweza kuizidi ya Kafulila anayepewa kiinua mgongo cha Karibu 200M?!
 
Ni mpumbafu tu ndio atamnyima kura Samia,Naamini hata Mbowe na Lissu watamchagua must,
Ni mpumbavu pekee na anayekula bule Kwa shemeji yake atayempa kura,

Lakini anayetafuta ili alishe familia yake, hatompa kura huyo!

Maana yake, hadi shemeji yako mahali unakula na kulala, hatompa kura!
 
Kimsingi Serikali ya Rais Samia Haina shida ya pesa ndogo ndogo ndio maana unaona miradi kwenye sekta zote inafanyika..

On top of that ina jeuri ya ajira nk 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220922-162447.png
    151.4 KB · Views: 3
Hizo ni figures nzuri lakini shida ipo ukija kwa Ground pesa hakuna na bidhaa muhimu ziko bei juu sana Mkuu !! Ukiwaambia watu hizo Takwimu hawatakuelewa kabisaaa. !! Hiyo ndio shida Brother !
 
Hizo ni figures nzuri lakini shida ipo ukija kwa Ground pesa hakuna na bidhaa muhimu ziko bei juu sana Mkuu !! Ukiwaambia watu hizo Takwimu hawatakuelewa kabisaaa. !! Hiyo ndio shida Brother !
Pesa ingekuwa hakuna kama unavyodai wewe miradi ingesimama,ajira zisingekuwepo,vilio vya kufunga biashara ungesikia na ujenzi wa nyumba za watu ungekuwa unasua sua..

Ukweli ni kwamba pesa haiwezi kufuata lazima uifuate iliko.
 
Ni mpumbavu pekee na anayekula bule Kwa shemeji yake atayempa kura,

Lakini anayetafuta ili alishe familia yake, hatompa kura huyo!

Maana yake, hadi shemeji yako mahali unakula na kulala, hatompa kura!
Kura atazoa kama zote tena nyingi ni za Vijijini.. pengine taahira tuu ndio hatomchagua.

Ona hii miradi mipya ya barabara za lami ujenzi unaendelea 👇
 
Attachments

  • IMG_20220918_130159_873.jpg
    830.5 KB · Views: 3
  • IMG_20220918_121950_104.jpg
    817 KB · Views: 2
  • IMG_20220917_125932_315.jpg
    1.2 MB · Views: 3
  • IMG_20220917_125942_512.jpg
    1 MB · Views: 3
Pesa ingekuwa hakuna kama unavyodai wewe miradi ingesimama,ajira zisingekuwepo,vilio vya kufunga biashara ungesikia na ujenzi wa nyumba za watu ungekuwa unasua sua..

Ukweli ni kwamba pesa haiwezi kufuata lazima uifuate iliko.
Na mimi naomba mnifundishe namna ya kuifuata hiyo hela ilipo !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…