Ngorunde
Platinum Member
- Nov 17, 2006
- 4,672
- 9,806
Na hiki ndio kiini cha ngonjera zote za tumbili....njaa!Tumbili anafukuzia uDED Igunga
Hayo mauzo nayaona ni namba tu.
Mwananchi wa kawaida bado anasulubika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hiki ndio kiini cha ngonjera zote za tumbili....njaa!Tumbili anafukuzia uDED Igunga
Unafahamu Protocol mjomba? Au kisa bando ni lako !!Life haiko hivyo wewe, na vyeo havina mwenyewe ni kupokezana tuu, anaweza akawa hata mlinzi na usije ukashangaa
Kweli njaa yako inaweza kuizidi ya Kafulila anayepewa kiinua mgongo cha Karibu 200M?!Na hiki ndio kiini cha ngonjera zote za tumbili....njaa!
Hayo mauzo nayaona ni namba tu.
Mwananchi wa kawaida bado anasulubika.
Fungua akili zaidi.Kweli njaa yako inaweza kuizidi ya Kafulila anayepewa kiinua mgongo cha Karibu 200M?!
Ni mpumbavu pekee na anayekula bule Kwa shemeji yake atayempa kura,Ni mpumbafu tu ndio atamnyima kura Samia,Naamini hata Mbowe na Lissu watamchagua must,
Kimsingi Serikali ya Rais Samia Haina shida ya pesa ndogo ndogo ndio maana unaona miradi kwenye sekta zote inafanyika..Wakati baadhi ya Watanzania wachache wakiendelea kufumba macho na masikio wasione wala kusikia kazi kubwa na Nzuri inayofanywa na Rais wetu hodari wa awamu ya sita Mhe Samia Suluhu Hassan,
Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila ameandika haya Kwenye ukurasa wake wa tweeter kuhusu Tanzania kuvunja rekodi ya kuuza nje ya nchi bidhaa na huduma,
Kwa taarifa tu, Rekodi hii haijawahi kutokea tangu nchi yetu iwe huru kisiasa na kiuchumi,
#Hongera Rais Samia Suluhu Hassan na team yako,
👇👇👇
View attachment 2365046
Mbona kama sioni wapi Mama kasifiwa hapa...............
Umesoma vizuri mpaka mwisho?..Mbona kama sioni wapi Mama kasifiwa hapa...............
Mbona kama sioni wapi Mama kasifiwa hapa...............
Chawa wa Mbowe katika ubora wako
Hizo ni figures nzuri lakini shida ipo ukija kwa Ground pesa hakuna na bidhaa muhimu ziko bei juu sana Mkuu !! Ukiwaambia watu hizo Takwimu hawatakuelewa kabisaaa. !! Hiyo ndio shida Brother !Wakati baadhi ya Watanzania wachache wakiendelea kufumba macho na masikio wasione wala kusikia kazi kubwa na Nzuri inayofanywa na Rais wetu hodari wa awamu ya sita Mhe Samia Suluhu Hassan,
Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila ameandika haya Kwenye ukurasa wake wa tweeter kuhusu Tanzania kuvunja rekodi ya kuuza nje ya nchi bidhaa na huduma,
Kwa taarifa tu, Rekodi hii haijawahi kutokea tangu nchi yetu iwe huru kisiasa na kiuchumi,
#Hongera Rais Samia Suluhu Hassan na team yako,
👇👇👇
View attachment 2365046
Pesa ingekuwa hakuna kama unavyodai wewe miradi ingesimama,ajira zisingekuwepo,vilio vya kufunga biashara ungesikia na ujenzi wa nyumba za watu ungekuwa unasua sua..Hizo ni figures nzuri lakini shida ipo ukija kwa Ground pesa hakuna na bidhaa muhimu ziko bei juu sana Mkuu !! Ukiwaambia watu hizo Takwimu hawatakuelewa kabisaaa. !! Hiyo ndio shida Brother !
Malofa eti ?!!Hahaaa mkapa alishawahi kutuita watz wapumbavu so tangu hapo sio tusi tena likawa halali kutumika popote saa yoyote...
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Kweli !Pesa ingekuwa hakuna kama unavyodai wewe miradi ingesimama,ajira zisingekuwepo,vilio vya kufunga biashara ungesikia na ujenzi wa nyumba za watu ungekuwa unasua sua..
Ukweli ni kwamba pesa haiwezi kufuata lazima uifuate iliko.
Kura atazoa kama zote tena nyingi ni za Vijijini.. pengine taahira tuu ndio hatomchagua.Ni mpumbavu pekee na anayekula bule Kwa shemeji yake atayempa kura,
Lakini anayetafuta ili alishe familia yake, hatompa kura huyo!
Maana yake, hadi shemeji yako mahali unakula na kulala, hatompa kura!
Kwa kweli !!Na hiki ndio kiini cha ngonjera zote za tumbili....njaa!
Hayo mauzo nayaona ni namba tu.
Mwananchi wa kawaida bado anasulubika.
Big chawa.Kura atazoa kama zote tena nyingi ni za Vijijini.. pengine taahira tuu ndio hatomchagua.
Ona hii miradi mipya ya barabara za lami ujenzi unaendelea 👇
Na mimi naomba mnifundishe namna ya kuifuata hiyo hela ilipo !!Pesa ingekuwa hakuna kama unavyodai wewe miradi ingesimama,ajira zisingekuwepo,vilio vya kufunga biashara ungesikia na ujenzi wa nyumba za watu ungekuwa unasua sua..
Ukweli ni kwamba pesa haiwezi kufuata lazima uifuate iliko.
Eti ufundishwe ,endelea kusubiria semina kama huna jicho la ujasiriamali kafanye vibarua vya ujendi viko rundo huko site.Na mimi naomba mnifundishe namna ya kuifuata hiyo hela ilipo !!
Ndo hivyo na wewe kuwa chawa kama inalipa.Big chawa.