Kafulila: Mwaka mmoja tu wa Rais Samia mauzo ya bidhaa na huduma nje yameongezeka kwa US$ 2.8bl Sawa na Shilingi trilioni 6

Wakati baadhi ya Watanzania wachache wakiendelea kufumba macho na masikio wasione wala kusikia kazi kubwa na Nzuri inayofanywa na Rais wetu hodari wa awamu ya sita Mhe Samia Suluhu Hassan,

Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila ameandika haya Kwenye ukurasa wake wa tweeter kuhusu Tanzania kuvunja rekodi ya kuuza nje ya nchi bidhaa na huduma,

Kwa taarifa tu, Rekodi hii haijawahi kutokea tangu nchi yetu iwe huru kisiasa na kiuchumi,

#Hongera Rais Samia Suluhu Hassan na team yako,

👇👇👇

View attachment 2365046

Kafulila hata u copy datas zoooooooote za nchi hii, hata usifiee wee, ushaharibu, huwezi pewa uongozi tena, kuwa RC au kiongozi wa kuteuliwa sahau kabisa, ww copy datas zote, then paste, sifia utakavyo, bado hutapata tena kuteuliwa, tafuta kazi nyingine na wengine wapewe nafasi, nyie watu mnafikiria ni nyie tu mnafaa madaraka na uongozi hakuna watu wengine.

Nakushauri Kafulila, fanya kazi zingine, achana na ma datas, kusifia sifia ili ufikiriwe labda kuteuliwa tena kama Chalamila, fanya issues zako, utumbili hujaacha tu?
 
Nakushauri Kafulila, fanya kazi zingine, achana na ma datas, kusifia sifia ili ufikiriwe labda kuteuliwa tena kama Chalamila, fanya issues zako.
Ungetaja hata jambo moja ambalo Bwana Kafulila aliloharibu kiasi cha kushindwa kusema kazi Nzuri zinazofanywa na Rais Samia,

Just one, tu
 
Wakati baadhi ya Watanzania wachache wakiendelea kufumba macho na masikio wasione wala kusikia kazi kubwa na Nzuri inayofanywa na Rais wetu hodari wa awamu ya sita Mhe Samia Suluhu Hassan,

Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila ameandika haya Kwenye ukurasa wake wa tweeter kuhusu Tanzania kuvunja rekodi ya kuuza nje ya nchi bidhaa na huduma,

Kwa taarifa tu, Rekodi hii haijawahi kutokea tangu nchi yetu iwe huru kisiasa na kiuchumi,

#Hongera Rais Samia Suluhu Hassan na team yako,

👇👇👇

View attachment 2365046
Kazi mbona si ukuu wa mkoa tu? Mbona Hapi kaonekana na Pàma akichuuza nyanya
 
Kafulila hata u copy datas zoooooooote za nchi hii, hata usifiee wee, ushaharibu, huwezi pewa uongozi tena, kuwa RC au kiongozi wa kuteuliwa sahau kabisa, ww copy datas zote, then paste, sifia utakavyo, bado hutapata tena kuteuliwa, tafuta kazi nyingine na wengine wapewe nafasi, nyie watu mnafikiria ni nyie tu mnafaa madaraka na uongozi hakuna watu wengine.

Nakushauri Kafulila, fanya kazi zingine, achana na ma datas, kusifia sifia ili ufikiriwe labda kuteuliwa tena kama Chalamila, fanya issues zako, utumbili hujaacha tu?
Akili hizi ndizo zipo sana Tanzania yetu ya leo hii. Aliyekwambia anatafuta uteuzi ni nani? Hakuna anayeruhusiwa tena kuongelea serikali ya nchi yake hata kama anao uhakika wa takwimu zake?.

Huu ushamba wa kumshambulia mtu badala ya uhakika na uhalali wa anachokisema hauwezi kutufikisha popote.

Kila mtu ni chawa, kila mtu anajikombakomba, bull shit.
 
Usijipendekeze sana mtoto wa kiume!!?
Raisi kufanya maendele ni majukumu yake kwa mujibu wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi na Taifa kwa ujumla hakuna maajabu hapo
Au ww ulidhani raisi anakwenda kula beer ikulu!
Na wewe jipendekeze kama inalipa,inakuuma nini nikijipendekeza? Chuki binafsi kwa SSH zitakuua kama Jiwe..

Tunaposema uchumi umekua tunamaanisha Takwimu kama hizi hapa chini 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220923-105429.png
    Screenshot_20220923-105429.png
    103.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220923-105504.png
    Screenshot_20220923-105504.png
    47.5 KB · Views: 3
Ni jambo la kawaida sana ilo nalo, Kwahyo ilo nalo litufanye tutukuze ??, Ndio tatizo la kila mmoja kutaka kuonekana ili apate teuzi ndio linaigharimu ili taifa, ilo si lilikua lengo kwaiyo iyo nayo ni shida sasa mtu uweka lengo analoamini anaweza kulifikia sasa tumpongeze nini na ndio ilitakiwa iwe ivo alaah !!!
 
Back
Top Bottom