Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,042
- 19,787
Wakati baadhi ya Watanzania wachache wakiendelea kufumba macho na masikio wasione wala kusikia kazi kubwa na Nzuri inayofanywa na Rais wetu hodari wa awamu ya sita Mhe Samia Suluhu Hassan,
Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila ameandika haya Kwenye ukurasa wake wa tweeter kuhusu Tanzania kuvunja rekodi ya kuuza nje ya nchi bidhaa na huduma,
Kwa taarifa tu, Rekodi hii haijawahi kutokea tangu nchi yetu iwe huru kisiasa na kiuchumi,
#Hongera Rais Samia Suluhu Hassan na team yako,
👇👇👇
View attachment 2365046
Kafulila hata u copy datas zoooooooote za nchi hii, hata usifiee wee, ushaharibu, huwezi pewa uongozi tena, kuwa RC au kiongozi wa kuteuliwa sahau kabisa, ww copy datas zote, then paste, sifia utakavyo, bado hutapata tena kuteuliwa, tafuta kazi nyingine na wengine wapewe nafasi, nyie watu mnafikiria ni nyie tu mnafaa madaraka na uongozi hakuna watu wengine.
Nakushauri Kafulila, fanya kazi zingine, achana na ma datas, kusifia sifia ili ufikiriwe labda kuteuliwa tena kama Chalamila, fanya issues zako, utumbili hujaacha tu?