Kafulila: Tangu Rais Samia aingie madarakani Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa kasi, ni zaidi ya Jumla ya ukuaji wa Uchumi wa nchi za Kenya na Uganda

Ukuaji wa uchumi utafsiriwe na maendeleo ya watu, Si kama ilivyo sasa hali ya maisha ya Watanzania ni ngumu mno.
Wakati anaongea hivyo anategemea mwisho wa mwezi kuna 6M itaingia nje na posho huyo mtu kwanini asiseme uchumi upo vizuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…