Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Nimeona video Kagame akiingia kwenye ukumbi uliokuwa na viongozi wengine wakuu wakimsubiria. Ameingia kibabe sana na kimamlaka, unaweza kuona viongozi wote hadi wa Congo wamemsalimia kwa tabasamu kubwa sana na bashasha!
Kwa body language yake na viongozi wengine wakisalimiana unaweza kuwa hujakosea kusema ni kama vile yeye ndiye atakuwa ana dictate terms! Masikini Tshisekedi.
Kwa body language yake na viongozi wengine wakisalimiana unaweza kuwa hujakosea kusema ni kama vile yeye ndiye atakuwa ana dictate terms! Masikini Tshisekedi.