Kagame ameingia kibabe sana kwenye mkutano wa amani wa viongozi wa SADC&EAC hapa Dar!

Kagame ameingia kibabe sana kwenye mkutano wa amani wa viongozi wa SADC&EAC hapa Dar!

Nimeona video Kagame akiingia kwenye ukumbi uliokuwa na viongozi wengine wakuu wakimsubiria. Ameingia kibabe sana na kimamlaka, unaweza kuona viongozi wote hadi wa Congo wamemsalimia kwa tabasamu kubwa sana na bashasha!

Kwa body language yake na viongozi wengine wakisalimiana unaweza kuwa hujakosea kusema ni kama vile yeye ndiye atakuwa ana dictate terms! 8Masikini Tshisekedi.
View attachment 3229110
Mkutano woote yeye ndiye Star
 
Kwahio Matatizo ya haya mambo yameanza baada ya Kagame na Museveni kuja ?; Unajua dhahama zilizokuwa zikitokea / zilizotokea kabla ya Kagame Rwanda na Museveni Uganda ?

Haya mambo tusipoangalia mzizi wa vitina tutakuwa tunaturudi pale pale mwaka baada ya mwaka kwa kutafuta cultprits hapa na pale (tunatibu symptoms badala ya ugonjwa)
So, tell us, who's behind this saga??
 
M 23 na Alshabaab kitu kimoja tafauti yao ni dini tu, hawa wakristo na hawa ni waislamu.
Watutsi na wasomali kuna vitu wanafanana kimaumbile na kitabia.
Kimaumbile wote ni warefu na wenye pua ndefu .
Na kitabia ni watu wanapenda chokochoko na kupenda kuwa juu ya watu wengine kwa njia yoyote hata kwa kumwaga damu za watu!
Watusi na wasomali wote jamii moja uzao wa wanefeli aka majitu
 
Hatima ya njaa na tamaa zisizo na kikomo.
 
Naomba kujua Ubabe ni Upi, na labda hapo angeingia vipi ndio ionekane sio Ubabe.., hio ya kukaribishana na kupeana mikono mbona ni kawaida wewe wageni wakiingia kwako unawapokea vipi ? au ulitaka apige magoti kama enzi za Mabwana na Watwana ?
 
Back
Top Bottom