Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
HahahahaAhahahah..sasa si ndio watanzania hao??!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaAhahahah..sasa si ndio watanzania hao??!
Mbona anatembea kama SokomokoNimeona video Kagame akiingia kwenye ukumbi uliokuwa na viongozi wengine wakuu wakimsubiria. Ameingia kibabe sana na kimamlaka, unaweza kuona viongozi wote hadi wa Congo wamemsalimia kwa tabasamu kubwa sana na bashasha!
Kwa body language yake na viongozi wengine wakisalimiana unaweza kuwa hujakosea kusema ni kama vile yeye ndiye atakuwa ana dictate terms! Masikini Tshisekedi.
View attachment 3229110
Yes na washateua Magavana na manaibu gavana ,washafanya mkutano na wananchiKwamba mpaka sasa Goma iko chini ya Rwanda na m23???
kwa bahati mbaya, Goma tayari imeshatwaliwa na waasi wamesema hawarudi msituni tena. sudan kusin ilikuwa hivyo, maeneo ya ukrain yalikuwa hivyo. hi yo ndiio inakuwaga ni njia ya kuunda nchi mpya ndani ya nchi ya zamani na icho ndicho mr.slim alikuwa anakitafuta kwa miaka mingi na amefanikiwa, apongezwe tu. hata mseven anasapoti icho kitu. iyo nchi muda si mrefu itajiunga na rwanda na itaongeza eneo ili rwanda ambayo ni overpopulated iweze kupumua, na watusi wataongezeka duniani, na rwanda sasa itakuwa na ardhi yenye madini, atayatumia vizuir kuendelea.Kila kitu kina mwisho, Wacongo watapumua siku moja
Mheshimiwa Felix Tshisekedi hakutokea, ashiriki kwa njia ya mtandao
View: https://m.youtube.com/watch?v=U4geDVePvDk
Nukuu za Comments mtandaoni :
- ikiwa kati ya wale ambao hawapo ni mtu anayehusika, tunawezaje kumsaidia mtu ambaye hapendezwi ....
- hapa ndio tatizo la Felix Tshisekedi huwa anakimbia majukumu yake 😂😂😂😂😂😂 hapa tatizo lake kubwa
- Na bado anataka jambo litatuliwe??????
- Kagame una enda just because you already arranged with others to support you
- N.k

Na Tanzania imeruhusu hili???Yes na washateua Magavana na manaibu gavana ,washafanya mkutano na wananchi
Mheshimiwa Felix Tshisekedi hakutokea, ashiriki kwa njia ya mtandao
View: https://m.youtube.com/watch?v=U4geDVePvDk
Nukuu za Comments mtandaoni :
- ikiwa kati ya wale ambao hawapo ni mtu anayehusika, tunawezaje kumsaidia mtu ambaye hapendezwi ....
- hapa ndio tatizo la Felix Tshisekedi huwa anakimbia majukumu yake 😂😂😂😂😂😂 hapa tatizo lake kubwa
- Na bado anataka jambo litatuliwe??????
- Kagame una enda just because you already arranged with others to support you
- N.k
Tz hata tu kutoa tamko la kukemea waasi wa M23 haiwezi..Na Tanzania imeruhusu hili???
Even if things are clear but are not as clear as water or day and night, when different individuals have grudges most of the time both of them have got viable reasons, that's why they sometimes try to find compromiseEverything is clear...
Sababu South walijitenga hawakufanikiwa does not mean wengine wasifanye hivyo; kuwa nchi moja ni kwamba mna umoja na nchi yenu kwa pamoja mnajilinda na kulinda watu wenu sehemu zote; sasa kama wa pengine huko mbali wanabaki kama yatima na bila msaada from the centre it means the centre can no longer hold, na mambo ya Vita Congo hii sio mara ya kwanza, kuna first Congo War, Kuna Second Congo War na Vita vya Kutosha ambavyo vimekuwa vikitokea kwenye jamii hizo hata kabla ya hii Modern CongoKujitenga sio solution (refer to Sudan)
Hakuna mtu atabisha hilo (ukizingatia wengi wanakwenda pale kama wezi) pia hata Charter ya OAU ilikuwa na Non Interference ( ingawa inabidi tupime ni wapi kama majirani hatuingilii kati) Sababu hilo ndio lilipelekea Majirani, Afrika na Dunia kwa Ujumla kuangalia wakati baadhi ya Wahutu wanachinja Watusi (tukisema kwamba hayo ni mambo yao ya ndani i.e. Internal Affairs)Mataifa ya west (US, France, etc) + their puppets (PK & YM) should stay out of DRC
labda viongozi wa DR Congo na Burundi tu ndiyo wanataka mzozo huu uishe kwa mtutu wa bunduki lakini viongozi wa SADC na EAC wengine wote wanaafiki mazungumzo ndiyo njia sahihi kumaliza mgogoro huu wa kikabila Congo.
Misafara milefu ya Nini,Safi kagame!Nimeona video Kagame akiingia kwenye ukumbi uliokuwa na viongozi wengine wakuu wakimsubiria. Ameingia kibabe sana na kimamlaka, unaweza kuona viongozi wote hadi wa Congo wamemsalimia kwa tabasamu kubwa sana na bashasha!
Kwa body language yake na viongozi wengine wakisalimiana unaweza kuwa hujakosea kusema ni kama vile yeye ndiye atakuwa ana dictate terms! Masikini Tshisekedi.
View attachment 3229110
08 February 2025
Dar es Salaam, Tanzania
Maneno mazito ya mwenyekiti wa EAC rais William Ruto bila kupepesa macho wala kumungunya maneno : Mtutu wa Bunduki na Mabomu Hayawezi Kutatua Mgogoro Huu Mgumu wa Congo
View: https://m.youtube.com/watch?v=eOtJbUWcnVQ
Mheshimiwa Felix Tshisekedi hakutokea, ashiriki kwa njia ya mtandao
View: https://m.youtube.com/watch?v=U4geDVePvDk
Nukuu za Comments mtandaoni :
- ikiwa kati ya wale ambao hawapo ni mtu anayehusika, tunawezaje kumsaidia mtu ambaye hapendezwi ....
- hapa ndio tatizo la Felix Tshisekedi huwa anakimbia majukumu yake 😂😂😂😂😂😂 hapa tatizo lake kubwa
- Na bado anataka jambo litatuliwe??????
- Kagame una enda just because you already arranged with others to support you
- N.k
sikubaliani naye, hivi nchi zote hizi, zimeshindwa kuingia kibabe na kuwakamatwa m23? au kwa sababu baadhi yao kama marais watatu kati ya hao, wanasapoti m23.
Umeona kile ambacho wengine hawajakiona.hapo Goma Kagame hatoki Tenakwa bahati mbaya, Goma tayari imeshatwaliwa na waasi wamesema hawarudi msituni tena. sudan kusin ilikuwa hivyo, maeneo ya ukrain yalikuwa hivyo. hi yo ndiio inakuwaga ni njia ya kuunda nchi mpya ndani ya nchi ya zamani na icho ndicho mr.slim alikuwa anakitafuta kwa miaka mingi na amefanikiwa, apongezwe tu. hata mseven anasapoti icho kitu. iyo nchi muda si mrefu itajiunga na rwanda na itaongeza eneo ili rwanda ambayo ni overpopulated iweze kupumua, na watusi wataongezeka duniani, na rwanda sasa itakuwa na ardhi yenye madini, atayatumia vizuir kuendelea.
kitu kibaya zaidi kagame anakifanya, anaona wacongo wenye asili ya rwanda ni watusi peke yake, wale FDLR ambao ni wanyarwanda kabisa kabisa na wameenda kule juzi tu 1994 (tofauti na banyamulenge ambao wameenda kule hata yeye hajazaliwa) anawabagua. ni mjinga sana, kama ambavyo huwezi kuwamaliza m23 ndivyo ambavyo huwezi kuwamaliza FDLR, cha muhimu ni wapewe haki kurudi nyumbani kama yeye alivyorudi baada ya kuwa mganda kwa miaka mingi. hatakuja kukaa salama asipowaunganisha hao. jambo lingine, kagame ni mjinga sana, alipoambiwa na kikwete apatane na maadui zake, alitukana akataka hadi kupigana, ila mseven jana kawaambia congo wapatane, umeona difference ya mnywa damu na mwizi wa madini, na mwanadam wa kawaida.Umeona kile ambacho wengine hawajakiona.hapo Goma Kagame hatoki Tena
Kwanza itakua salama kwake Kwa M23 kukaa hapo ili kuwazuia FDLR
Pili anakua kapata nafasi ya ardhi Kwajiri ya watu wake hasa jamii ya watusi
Kifupi Ile Kivu Republican inaenda kuundwa