kitu kibaya zaidi kagame anakifanya, anaona wacongo wenye asili ya rwanda ni watusi peke yake, wale FDLR ambao ni wanyarwanda kabisa kabisa na wameenda kule juzi tu 1994 (tofauti na banyamulenge ambao wameenda kule hata yeye hajazaliwa) anawabagua. ni mjinga sana, kama ambavyo huwezi kuwamaliza m23 ndivyo ambavyo huwezi kuwamaliza FDLR, cha muhimu ni wapewe haki kurudi nyumbani kama yeye alivyorudi baada ya kuwa mganda kwa miaka mingi. hatakuja kukaa salama asipowaunganisha hao. jambo lingine, kagame ni mjinga sana, alipoambiwa na kikwete apatane na maadui zake, alitukana akataka hadi kupigana, ila mseven jana kawaambia congo wapatane, umeona difference ya mnywa damu na mwizi wa madini, na mwanadam wa kawaida.