Kagame ameingia kibabe sana kwenye mkutano wa amani wa viongozi wa SADC&EAC hapa Dar!

Kagame ameingia kibabe sana kwenye mkutano wa amani wa viongozi wa SADC&EAC hapa Dar!

Chuo Kikuu cha UDSM
08 February 2025
Dar es Salaam, Tanzania

Mdahalo huu umeandaliwa na DUPSA chuo kikuu cha Dar es Salaam

Balozi Liberata Mulamula : Chanzo cha Mgogoro wa Congo

View: https://m.youtube.com/watch?v=LuVVwLi7z7U

Wasifu:

Ambassador Dr. Liberata Mulamula is a graduate of St. John’s University in New York where she obtained an M.A. in Government and Politics, as well as a postgraduate diploma in International Law. She received her B.A. in Political Science and International Relations from Dar-es Salaam University of Tanzania. She was adjunct lecturer on the “Art of Negotiations” at the Tanzania-Mozambique Center of Diplomatic Studies.

In addition to her role as Associate Director of IAfS, she is also a Visiting Scholar at the George Washington University, Elliott School of International Affairs. Her primary area of interest is Women and Leadership in Africa.

Machapicho ya kitafiti ya Dr. Liberata Mulamula:

Publications

1) Mulamula, Liberata, “DRC and Its Neighbours: Policy Options for the Great Lakes Region and the International Community” in Mwesigwa, Baregu(ed.) 2011. Understanding Obstacles to Peace: Actors, Interests, and Strategies in Africa’s Great Lakes Region. Fountain Publishers, (IDRC), Kampala, Uganda
2) “Genocide Prevention: Experience of the International Conference on the Great Lakes Region(ICGLR)”. A paper presented at the Regional Forum on Genocide Prevention, Bern, Switzerland, 2011
3) -, ICGLR.2011. “Towards Eradicating Sexual and Gender Based Violence in the Great Lakes Region.” ICGLR Magazine, December 2011
4) –, in IDMC. 2008.“The Great Lakes Pact and the Rights of Displaced People: A Guide for Civil Society.” IDMC, Geneva, Switzerland
5) Mulamula, Liberata, (2019). "Preventing Mass Atrocities: Mobilizing Regional Responses, Experiences from the Great Lakes Region of Africa" In Harff, Barbara and Gurr, Ted Robert (Ed.), Preventing Mass Atrocities: Policies and Practices. London and New York: Routledge Taylor & Francis Group.

Distinctions​

Republic Award of Distinguished Service

Classes Taught​

Women and Leadership in Africa; Multilateral and Conference Diplomacy in Global Politics
Source : Liberata Mulamula
 
Kwenye federation suala la ulinzi huwa ni la serikali kuu, sasa Federal government haiwezi hata ku train wanajeshi wake hadi inaleta mamluki(mercenaries) wazungu kutoka Ulaya hiyo serikali ina maana gani!

..Ni jimbo moja tu, North Kivu, ndio lina matatizo, kati ya majimbo yote ya DRC.

..Rwanda na Uganda wakiacha ku-support M23 genge hilo litajifia kama UNITA ilivyokufa baada ya kukosa msaada wa South Africa.
 
Mwisho wa siku waafrika tunauana na wazungu wanapata wanachokitaka bure (madini). Leo wanamtumia kagame na museveni kesho atapatikana mwingine
 
Nimeona video Kagame akiingia kwenye ukumbi uliokuwa na viongozi wengine wakuu wakimsubiria. Ameingia kibabe sana na kimamlaka, unaweza kuona viongozi wote hadi wa Congo wamemsalimia kwa tabasamu kubwa sana na bashasha!

Kwa body language yake na viongozi wengine wakisalimiana unaweza kuwa hujakosea kusema ni kama vile yeye ndiye atakuwa ana dictate terms! Masikini Tshisekedi.
View attachment 3229110
Wewe mtusi una mental disorder siyo bure.
 
08 February 2025
Mdahalo umeandaliwa na DUPSA UDSM

Dr. Richard Mbunda : Historia na Kwanini Mazungumzo Hayafanikiwi Kuleta Amani ya Kudumu DR Congo

View: https://m.youtube.com/watch?v=V8oKaFqiIIA
Mgogoro katika modeli ya chapisho la Profesa Mwesiga Baregu 2011 Obstacles to Peace Actors Interests and Strategies andiko la kuhusu maslahi na kwanini wako kule na mbinu wanazotumia ili kuweza kupata ufumbuzi wa kuleta amani .. nchi wahusika kwa sasa nchi ya Congo na jirani wake Rwanda, Burundi, Uganda.

Pia nchi za mbali Scandinavia, China, France na wahusika wengine wasiokuwa nchi kama CNDP, MLC, MaiMai, M23 n.k waliosaini makubaliano ya Machi 23 2009

Makundi ya nje FDLR kutoka Rwanda Wahutu 20,000 waliongia Congo .. ADF waasi wa Uganda walioingia Mashariki ya Congo kuishambulia Uganda, Lord Resistance Army ya Joseph Konyi walioingia Kaskazini ya Congo baada ya kukimbia Uganda, RED-TABARA wa Burundi n.k

Je hawa wote hapa juu nchi jirani, nchi za mbali, makampuni ya kimataifa na makundi ya waasi wa Rwanda, Congo, Burundi na Uganda wanamaslahi gani Mashariki ya Congo ...

More info :
Understanding Obstacles to Peace: Actors, Interests, and Strategies in Africa's Great Lakes Region
Book by Baregu Mwesiga
1739029113938.jpeg
 
Nimeona video Kagame akiingia kwenye ukumbi uliokuwa na viongozi wengine wakuu wakimsubiria. Ameingia kibabe sana na kimamlaka, unaweza kuona viongozi wote hadi wa Congo wamemsalimia kwa tabasamu kubwa sana na bashasha!

Kwa body language yake na viongozi wengine wakisalimiana unaweza kuwa hujakosea kusema ni kama vile yeye ndiye atakuwa ana dictate terms! Masikini Tshisekedi.
View attachment 3229110

Nimeona stress sijaona ubabe
 
Sijaona ubabe wowote hapo
 
Kagame na Museven ni fitina kubwa katika eneo letu mpaka wawe eliminated ndo eneo lipate amani, wote ni homocidal dictators bloodsunkers, power greedy wezi na fisadi wa kubwa.......hawana huruma na wenyeji wa nchi zao.
Sahihi kabisa. Hawaheshimu uhai wa wengine. Wabinafsi waandamizi hawa.
 
Watutangazie tena mapumziko ili wafanye mkutano wao kwa amani
 
Nimeona video Kagame akiingia kwenye ukumbi uliokuwa na viongozi wengine wakuu wakimsubiria. Ameingia kibabe sana na kimamlaka, unaweza kuona viongozi wote hadi wa Congo wamemsalimia kwa tabasamu kubwa sana na bashasha!

Kwa body language yake na viongozi wengine wakisalimiana unaweza kuwa hujakosea kusema ni kama vile yeye ndiye atakuwa ana dictate terms! Masikini Tshisekedi.
View attachment 3229110
So what?
 
Congo matatizo yalianza miaka ya 1800 wakati Mfalme Leopold || alipojichukulia Congo na kuifanya mali yake
Aliuwa watu wengi sana na ndio mtu pekee alieuwa watu wengi duniani

Baada ya uhuru Lumumba akataka achunge rasilimali za nchi lakini wakamuuwa Wabelgiki wakisaidiana na CIA
Wakamuweka mtu wao Mobutu
Yaani mali ni shetani ndio maana France nae analia lia kwa kujipendekeza Africa kwa lazima
Hawa viongozi wamekutana wana mchango gani kwa waathirika?
Au mpaka waletewe Unga wa njano toka kwa wazungu?

Ni mda sasa Africa ikasaidiana kwa hali na mali
Nasubiri kina Mayalla waliokuwa mkutanoni watupe updates kama kuna mchango wametoa
Mauwaji ya Kimbari ndio yakaongeza matatizo ya Congo kwani wengi walikimbilia Congo na ndio hawa wanafanya fujo leo
 
Nadhan kinacho onekana nkwamba una mkubali saana prezda PK. kwahyo kwa wanaomuona mtu wa kawaida hawajaona ulichokiona na hawawez kuona hivo ulivomuona.
Ila umefanya vizuri kuonyesha hisia zako.
 
Back
Top Bottom