Kagame ameingia kibabe sana kwenye mkutano wa amani wa viongozi wa SADC&EAC hapa Dar!

Kagame ameingia kibabe sana kwenye mkutano wa amani wa viongozi wa SADC&EAC hapa Dar!

Nimeona video Kagame akiingia kwenye ukumbi uliokuwa na viongozi wengine wakuu wakimsubiria. Ameingia kibabe sana na kimamlaka, unaweza kuona viongozi wote hadi wa Congo wamemsalimia kwa tabasamu kubwa sana na bashasha!

Kwa body language yake na viongozi wengine wakisalimiana unaweza kuwa hujakosea kusema ni kama vile yeye ndiye atakuwa ana dictate terms! Masikini Tshisekedi.
View attachment 3229110
 
Angekuwepo yeye binafsi ingekuwa rahisi hata viongozi wenzake kuwashinikiza yeye na PK wafikie aina fulani ya muafaka Ili kupunguza mvutano.
Nchi amwachiye nani kipindi hiki cha machafuko?
M23 hawajaja hapo sembuse yeye
 
Wanamnyonga Major wao!
Tshisekedi akiona hadi Major kawa mole wa M23 lazima jasho limchuruzike.
Na unaweza ukakuta ilikiwa baada ya hiyo mission ya hapo Goma ilikuwa avutwe na kuingizwa kwenye circle ya walinxi au washauri wa rais wa maswala ya Ulinzi na Usalama
 
Even if things are clear but are not as clear as water or day and night, when different individuals have grudges most of the time both of them have got viable reasons, that's why they sometimes try to find comprimise

Sababu South walijitenga hawakufanikiwa does not mean wengine wasifanye hivyo; kuwa nchi moja ni kwamba mna umoja na nchi yenu kwa pamoja mnajilinda na kulinda watu wenu sehemu zote; sasa kama wa pengine huko mbali wanabaki kama yatima na bila msaada from the centre it means the centre can no longer hold, na mambo ya Vita Congo hii sio mara ya kwanza, kuna first Congo War, Kuna Seconda Congo War na Vita vya Kutosha ambavyo vimekuwa vikitokea kwenye jamii hizo hata kabla ya hii Modern Congo

Hakuna mtu atabisha hilo (ukizingatia wengi wanakwenda pale kama wezi) pia hata Charter ya OAU ilikuwa na Non Interference ( ingawa inabidi tupime ni wapi kama majirani hatuingilii kati) Sababu hilo ndio lilipelekea Majirani, Afrika na Dunia kwa Ujumla kuangalia wakati baadhi ya Wahutu wanachinja Watusi (tukisema kwamba hayo ni mambo yao ya ndani i.e. Internal Affairs)
Hakika, ni wendawazimu kung'ang'ania linchi likubwa ambalo halitawaliki na serikali. Kama imeshindikana kuelewana huko Mashariki na Kivu wapewe tu nchi yao, vita iishe watu wafanye maendeleo.
 
Kagame na Museven ni fitina kubwa katika eneo letu mpaka wawe eliminated ndo eneo lipate amani, wote ni homocidal dictators bloodsunkers, power greedy wezi na fisadi wa kubwa.......hawana huruma na wenyeji wa nchi zao.
Wote hao wawili walishika madaraka ya nchi zao kwa uasi - waliziangusha tawala zao kwa mapinduzi ya msituni.
Wanatakiwa kushtakiwa kwa uhaini.
 
Hakika, ni wendawazimu kung'ang'ania linchi likubwa ambalo halitawaliki na serikali. Kama imeshindikana kuelewana huko Mashariki na Kivu wapewe tu nchi yao, vita iishe watu wafanye maendeleo.
Unataka kutuambia Kongo ni nchi kubwa jinga?
 
Back
Top Bottom