Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Kagame na Rwanda yake imefanya Kama alivyofanya ni kuikalia Goma kimabavu then ndio tuanze maongezi kama Putin na Urusi yake kuikalia Crimea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahah..hata mimi nimeitafuta kweli hiyo "kibabe" ila sijaionaWatutsi mmejazana mitandaoni..eti kibabe!!
Things are never simple or black or white there are a lot of grey areas and a lot of culprits and whenever there is Chaos people always takes advantage to self enrich themselves..., kuna siku nilishasema kila upande hapo wana hoja zao za msingi ambazo kwa mwingine ni kazi kuziafiki na katika huu mchezo wa cat and mouse na hii impasse raia wa kawaida hapo wanazidi kuumia.... maybe its about time sehemu yote hio ya Kivu na raia wote wa hapo waanze kuwaza kuwa na nchi yao.... (sababu wamekuwa kama Yatima)So, tell us, who's behind this saga??
Kwamba mpaka sasa Goma iko chini ya Rwanda na m23???Kagame na Rwanda yake imefanya Kama alivyofanya ni kuikalia Goma kimabavu then ndio tuanze maongezi kama Putin na Urusi yake kuikalia Crimea
Jf imevamiwa na watutsiWatutsi mmejazana mitandaoni..eti kibabe!!
Ahahahaha..sio kweli bwana..😂😂.Watanzania karibu wote ni wapenzi wa Kagame na yeye anajua hilo
Labda aende kupika.Alivyoingia Hadi nimetamani abaki hapa nyumbani na huyu wa nyumbani aende Rwanda.
Hao huwa wanapigana huko misituni kisha wanaelewana. Uwendawazimu wao wanajuana vizuri wala hawapeani shida.Hivi Museven anatatizo na mguu mrefu kumbe?
Kaingiaje kibabe na kimamlaka?Nimeona video Kagame akiingia kwenye ukumbi uliokuwa na viongozi wengine wakuu wakimsubiria. Ameingia kibabe sana na kimamlaka, unaweza kuona viongozi wote hadi wa Congo wamemsalimia kwa tabasamu kubwa sana na bashasha!
Kwa body language yake na viongozi wengine wakisalimiana unaweza kuwa hujakosea kusema ni kama vile yeye ndiye atakuwa ana dictate terms! Masikini Tshisekedi.
View attachment 3229110
Hivi opium haiwezi kutumika kuua ngedere wanaomaliza mahindi ya mkulima shambani?Kila kitu kina mwisho, Wacongo watapumua siku moja
1. Everything is very clear and visible..Things are never simple or black or white there are a lot of grey areas and a lot of culprits and whenever there is Chaos people always takes advantage to self enrich themselves..., kuna siku nilishasema kila upande hapo wana hoja zao za msingi ambazo kwa mwingine ni kazi kuziafiki na katika huu mchezo wa cat and mouse na hii impasse raia wa kawaida hapo wanazidi kuumia.... maybe its about time sehemu yote hio ya Kivu na raia wote wa hapo waanze kuwaza kuwa na nchi yao.... (sababu wamekuwa kama Yatima)
Wanaoshikisha adabu ni wale mabakamabaka waajua KWELI ,ila mliobaki ni mashabiki wa Rwanda na KagameAhahahaha..sio kweli bwana..😂😂.
Sema sis watanzania tunapenda mtu ila akizingua tunamshikisha adabu vizuri.
Hadi youtube channel za wasauzi utakuta wanakomenti pale downJf imevamiwa na watutsi
Ahahahah..sasa si ndio watanzania hao??!Wanaoshikisha adabu ni wale mabakamabaka waajua KWELI ,ila mliobaki ni mashabiki wa Rwanda na Kagame
... mi nimeona mtu akijitahidi sana kujifanya mwenye nidhamu na mapenzi sana kiasi cha kutaka ku'shake hands' na kila aliyepo!Ahahahah..hata mimi nimeitafuta kweli hiyo "kibabe" ila sijaiona
Ila ameshazeeka sanaNimeona video Kagame akiingia kwenye ukumbi uliokuwa na viongozi wengine wakuu wakimsubiria. Ameingia kibabe sana na kimamlaka, unaweza kuona viongozi wote hadi wa Congo wamemsalimia kwa tabasamu kubwa sana na bashasha!
Kwa body language yake na viongozi wengine wakisalimiana unaweza kuwa hujakosea kusema ni kama vile yeye ndiye atakuwa ana dictate terms! Masikini Tshisekedi.
View attachment 3229110