Kagame: Nipo tayari kuendelea kuongoza Rwanda kwa miaka 20 zaidi

Nangja tamko la Uingereza na USA wapenda democracy maarufu akisema rasmi atataka gombea tena Urais.
 
NCHI ZILIZO HURU DUNIANI NI TATU TU NI MAREKANI, URUSI NA CHINA BASI.
 
Warwanda mafala sana aseee hivi hawaoni srilanka huko ..
Afu ndio kila cku humu wanajiita wana akili za kiisrael hahahahh au na Israel wanaongozwa na mtu mmoja????
Hatutofautiani nao sana.

Wao wanataliwa na mtu yuleyule kwa miaka zaidi ya 20 sasa, sisi ni chama kilekile kwa miaka zaidi ya 30.
 
Duh!..mmeshampiga kipapai nini ?
😄😄 moja Kati ya Wataalam wakubwa kabisa wa kipapai Africa nzima Ni wacongo lkn wameshindwa kumloga.Mbele ya risasi na mizinga kipapai hua kinakula Kona.

Kule Ukraine walialika waganga wa kienyeji kumloga Putin lkn mwamba hata mafua tu haumwi.
 
Siku akitoka,Madarakani watusi wote lazima wachinjwe
 
Kagame is one of the best President kutokea Africa, acha aongoze tuu maana Rwanda inaelekea kuwa nchi iliyoendelea na nzuri sana, Lee Kuan wa Singapore alitawala almost 50 years na aliifanya nchi yake kuwa first world
 

Mwanafalsafa, unasamaje kuhusu hawa viongozi.... Angalia miaka ya utawala kwenye mabano

1. Teodora Nguema- Equatorial Guinea (41)
2.Paul Biya- Cameroon (38)
3.Dennis Sassou- Congo Brazaville (36)
4.Yoweri Museveni - Uganda (34)
5. Idriss Deby - Chad (30)
6. Isais Afwerk - Eritrea (27)

Hawa ni baadhi ya viongozi waliokaa muda mrefu madarakani Afrika, Je ni ukosefu wa Uzalendo, na maono sahihi au kuna mengi zaidi ambayo naona hoja yako haikuzingatia. Labda utafafanulie pia kuhusu mapinduzi ya Viwanda, naamini unafahamu mapinduzi ya viwanda yaliyoubadili ulimwengu kati ya 1760 hadi 1840 yalizaliwa katika mifumo gani ya utawala na Demokrasia huko Ulaya na Marekani, nchi ambazo bado zinaongoza kwa karibu kwa kila kitu, na kama ndio zimeweka standard ambazo wengi tunazitumia kupima maendeleo ya binadamu.
Na bado sijakuelewa kabisa unaposema "Demokrasia ya magharibi ni anasa kwa waliotajirika" Hebu tufafanulie kidogo mwanafalsafa.....
 
Haya ndiyo mambo yaliyomponza Gadhafi kujiona ana akili sana Libya. Kuongoza nchi kuliko wengine.
Ishu ya gadaffi Ni tofauti hapo, gadafi alio goza kwa mafanikio ya juu kila kitu nilikuwa free bse alizuia unyonywaji, Libya ilikuwa Kama pepo, kwanini usitolee mfano Mugabe ,tumia akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…