KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Kaweke kwenye wasifu wako kwamba wewe ni "child molester" halafu kaombe kazi ya kusimamia shughuli za watoto, hata kama ni miaka kumi ijayo uone kama kzi hiyo utapewa.Kama mtu ni jambazi, anahukumiwa kwa ujambazi alioufanya au anaotuhumiwa kwamba ataufanya 2025?
Kwa nini unamuona jambazi, anayejulikana, kafanya ujambazi huu na huu kuanzia 2015 mpaka sasa, halafu unamhukumu kwa ujambazi unaosema ataufanya 2025, na kuacha ujambazi ambao tayari kashaufanya?
Wrongful accusation ni kitu kibaya sana.it's very unfortunate unaonekana kutumia nguvu nyingi sana katika vitu vinavyohitaji simple mental application.
there's no harm in being hypothetical when talking of probabilities.... it's inevitable.
and the binary hypotheses are:
1) JPM may vouch for extending the presidential term limit, all circumstances considered
2) JPM may not vouch for the presidential term limit extension
so, the probability could be 50/50 either way... and you cannot say am wrong with this perspective.
kapish???
Sasa mbona unafananisha vitu tofauti?Kaweke kwenye wasifu wako kwamba wewe ni "child molester" halafu kaombe kazi ya kusimamia shughuli za watoto, hata kama ni miaka kumi ijayo uone kama kzi hiyo utapewa.
Tukisema wewe una probability ya 50/50 ya kuua mwaka 2025, na hivyo tukuhukumu kukunyonga leo, utakubali?nimekujibu hapo juu tayari.
Kauli ya Jiwe mwaka 2025 " Mimi ni nani hata nikatae ombi la watanzania. Nimekubali kuendelea kubeba mzigo huu. Asanteni kwa kuniamini, Ila 2035 Mungu akijalia uzima naomba mniluhusu nikapumzike Chato jamani. Nafikilii mmenielewa. Si ndiyo? Haya, asanteni kwa kunisikiliza"hata mimi nina mashaka makubwa na kauli ya bwana mkubwa, sioni dalili. he is just fooling you
Kwa nini watu hawakubali haya mambo ya wazi kabisa?Umewaza mbali sana
Sent from my iPhone using JamiiForums
Siasa za kumuwekea mtu maneno mdomoni hazitambakisha mtu yeyote salama.Kauli ya Jiwe mwaka 2025 " Mimi ni nani hata nikatae ombi la watanzania. Nimekubali kuendelea kubeba mzigo huu. Asanteni kwa kuniamini, Ila 2035 Mungu akijalia uzima naomba mniluhusu nikapumzike Chato jamani. Nafikilii mmenielewa. Si ndiyo? Haya, asanteni kwa kunisikiliza"
Kwani aliyemtaja huyo unayemtaja ni nani? Mbona mtoa mada hajamtaja huyu unayemtaja wewe? Hebu soma tena ujumbe wa mtoa hoja, kamtaka huyo unayemtaja wewe?Siasa za kumuwekea mtu maneno mdomoni hazitambakisha mtu yeyote salama.
Tutaweza kuweka maneno yoyote kinywani mwa mtu yeyote.
Look, Magufuli is not exactly a democrat. I will give you that.
Na naweza kuelewa kwa nini watu wana wasiwasi, Magufuli mwenyewe ametengeneza mazingira ya kushukiwa.
Lakini, kumuwekea maneno ambayo hajasema si sawa.
Kumhukumu kwa makosa ambayo hajayatenda si sawa.
Hiyo movement huwa hawaifanyi wao directly. Yaani anahitaji watu watatu tu kuimuvuzisha hii kitu na bahati mbaya sana wote hao kila anapoenda, na wao humfuata nyuma as if Mihimili na Vyombo vyao ni tawi la GogoniWasiwasi wenu ni upi? Kati ya mambo ambayo huyu mzee hatofanya ni kuongeza muda wa kukaa madarakani. Tuzifufue hizi nyuzi 2025.
Aliyemtaja huyo niliyemtaja ni niliyemnukuu.Kwani aliyemtaja huyo unayemtaja ni nani? Mbona mtoa mada hajamtaja huyu unayemtaja wewe? Hebu soma tena ujumbe wa mtoa hoja, kamtaka huyo unayemtaja wewe?
Wakemeeni hao watu.Hiyo movement huwa hawaifanyi wao directly. Yaani anahitaji watu watatu tu kuimuvuzisha hii kitu na bahati mbaya sana wote hao kila anapoenda, na wao humfuata nyuma as if Mihimili na Vyombo vyao ni tawi la Gogoni
ukisoma posts zangu between the lines utagundua mimi na wewe tunaongea kitu hichi - kimoja!Wrongful accusation ni kitu kibaya sana.
JPM kashasema hatavunja katiba katika hili la term limits, unataka afanye nini ili ukubali, au umpe tu the benefit of the doubt, kwamba hatavunja katiba?
Na ukizungumzia kwamba atavunja katiba 2025, wakati kuna uchaguzi wa 2020, hilo linamaanisha ushakubali ameshinda uchaguzi wa kuwa rais 2020?
nadhani pia si sahihi kwako kutuhukumu/tuhumu - whatever - tunaosema ni naivety kuamini eti hatang'ang'ania madarakani kipindi chake kikiisha (be it 2020 or 2025).
hakuna anaye draw conclusion yoyote hapa but tunasema uwezekano huo upo hata kwa kuangalia tu behaviours za peers wake anao rub shoulders nao (remember birds of the same feathers.......?). this is where am coming from.
so, hatumhukumu but tuna kila sababu ya kuwa na mashaka kwa kuangalia circumstances.
Kumhukumu mtu kwa kosa ambalo hajalifanya bado, ila anakisiwa kuwa atalifanya baadaye, ni jambo lililo sawa na haki au si sawa na si haki?ukisoma posts zangu between the lines utagundua mimi na wewe tunaongea kitu hichi - kimoja!
tatizo you don't seem to like the way am presenting mine. fair enough.
for example, kwenye one of my posts responding to yours, mimi sijapigilia msumari wa 2025.... see below.
si haki naafikiana nawe. but ni haki kusema kuwa anaweza kuhukumiwa kwani ni one of the probability outcomes, which is what I have been trying to say all along here!Kumhukumu mtu kwa kosa ambalo hajalifanya bado, ila anakisiwa kuwa atalifanya baadaye, ni jambo lililo sawa na haki au si sawa na si haki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais wa Kizalendo wa Jamhuri ya Muungano wa Puetorica atapumzika 2025
Msuko suko wa ndani ya Chama cha PNP kutoka kwa Wazee wa Chama ni Mkubwa sana kiasi kwamba kutuliza hali ya hewa imebidi atolee ufafanuzi kutuliza hali
Raia wa Nchi hiyo wanapaswa kuamini asemacho Rais wao
Hapo utakuwa unapiga ramli.si haki naafikiana nawe. but ni haki kusema kuwa anaweza kuhukumiwa kwani ni one of the probability outcomes, which is what I have been trying to say all along here!
Kagame atakuja kutoka kwa aibu ya mwaka- we wanche tu ubabe una mwisho.
Kwakweli Kabudi anafaa kuvaa viatu vya JPM!
mathematical deduction imekuwa ramli siku hizi??Hapo utakuwa unapiga ramli.
Tuongee kwa fact. Si kwa kupiga ramli.
Fact.Magufuli ana makosa mengi sana kashafanya.
Mhukumuni kwa makosa ambayo kashayafanya, si kwa kumpigia ramli kuhusu makosa atakayoyafanya.
Sent using Jamii Forums mobile app