KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Kaweke kwenye wasifu wako kwamba wewe ni "child molester" halafu kaombe kazi ya kusimamia shughuli za watoto, hata kama ni miaka kumi ijayo uone kama kzi hiyo utapewa.Kama mtu ni jambazi, anahukumiwa kwa ujambazi alioufanya au anaotuhumiwa kwamba ataufanya 2025?
Kwa nini unamuona jambazi, anayejulikana, kafanya ujambazi huu na huu kuanzia 2015 mpaka sasa, halafu unamhukumu kwa ujambazi unaosema ataufanya 2025, na kuacha ujambazi ambao tayari kashaufanya?