Makonda sio mtendaji mkuu wa chama. Kufoka foka hadharani na kutoa amri ni usanii tuu. Wenzake walivyotumia style hiyo hiyo mbona watu wale waliosemwa ni mzigo bado wapo na nyadhifa zao kwenye chama?Utaratibu wa kusikiliza kero zs wananchi haujaandikwa kwenye kitabu, ambacho ulimwenguni kote tunatakiwa kujifunza huko.
Kero za wananchi zinasikilixwa kwa namna mbalimbali kulingana na jiografia ya eneo husika, na desturi ya watu wa sehemu hiyo.
Sio lazima kwetu Tanganyika tujifunze namna wamarekani na wafaransa wanavyosikiliza kero za wananchi wao, hjko kutakuwa sawa na utumwa wa kifikra kwetu.
Kwanza aliumbuliwa kwa Oparesheni yake ya mauajiKagasheki hana lolote ni mmojawapo wa viongozi waliokuwa wabinafsi alichangia pakubwa kudumaza bukoba wakati wa Enzi yake yupo waziri na mbunge wa bukoba mjini hakuna lolote alilosaidia mkoa wa Kagera atulie tu muda wake umepita amwache bwana mdogo Makonda apige kazi.
Tofautisha Kati ya kusikiliza kero za Wananchi ambalo ni jambo la msingi na kuwa summon Mawaziri na kuwapa ultimatum hadharani, Serikali duniani kote zina utaratibu wake maalum wa kujiendesha.Utaratibu wa kusikiliza kero zs wananchi haujaandikwa kwenye kitabu, ambacho ulimwenguni kote tunatakiwa kujifunza huko.
Kero za wananchi zinasikilixwa kwa namna mbalimbali kulingana na jiografia ya eneo husika, na desturi ya watu wa sehemu hiyo.
Sio lazima kwetu Tanganyika tujifunze namna wamarekani na wafaransa wanavyosikiliza kero za wananchi wao, hjko kutakuwa sawa na utumwa wa kifikra kwetu.
Hakuna tofauti hapo, hizo kero za wananchi ndio zinawahusu hao mawaziri, na bahati nzuri mawaziri wenyewe ni wa CCM, wanatekeleza ilani ya chama chao.Tofautisha Kati ya kusikiliza kero za Wananchi ambalo ni jambo la msingi na kuwa summon Mawaziri na kuwapa ultimatum hadharani, Serikali duniani kote zina utaratibu wake maalum wa kujiendesha.
Mbona hata Naibu Waziri Mkuu anafanya hivyo kwa watendaji? Tena jana katoa maelekezo watu waondolewe….! Huu ni wivu kwa Makonda😂😂😂😂😂Tofautisha Kati ya kusikiliza kero za Wananchi ambalo ni jambo la msingi na kuwa summon Mawaziri na kuwapa ultimatum hadharani, Serikali duniani kote zina utaratibu wake maalum wa kujiendesha.
Utaratibu wa kusikiliza kero za wananchi haujaandikwa kwenye kitabu, ambacho ulimwenguni kote tunatakiwa kujifunza huko.
Kero za wananchi zinasikilizwa kwa namna mbalimbali kulingana na jiografia ya eneo husika, na desturi ya watu wa sehemu hiyo.
Sio lazima kwetu Tanganyika tujifunze namna wamarekani na wafaransa wanavyosikiliza kero za wananchi wao, hjko kutakuwa sawa na utumwa wa kifikra kwetu.
This is too low! Unadhani maigizo anayofanya Makonda ni sahihi? Makonda anatatuaje kero za wananachi kwa kupanda punda? Hao wateule wote wa rais waliojaa kila sehemu wanafanya nini ili awepo mpanda punda wa kusikiliza kero?Utaratibu wa kusikiliza kero za wananchi haujaandikwa kwenye kitabu, ambacho ulimwenguni kote tunatakiwa kujifunza huko.
Kero za wananchi zinasikilizwa kwa namna mbalimbali kulingana na jiografia ya eneo husika, na desturi ya watu wa sehemu hiyo.
Sio lazima kwetu Tanganyika tujifunze namna wamarekani na wafaransa wanavyosikiliza kero za wananchi wao, hjko kutakuwa sawa na utumwa wa kifikra kwetu.
Ni wajinga tu ndiyo wanaodhani Makonda anasikiliza shida za wananchi!Wewe akili zako zimefanana na Kagasheki hadi kusikiliza kero za wananchi mnaona wivu
Kijana wa chama, Hana Cheo serikalini, atoe maoni chamaniMbona hata Naibu Waziri Mkuu anafanya hivyo kwa watendaji? Tena jana katoa maelekezo watu waondolewe….! Huu ni wivu kwa Makonda😂😂😂😂😂
Tanzania ipo ilipo kwa sababu ya wajinga kama wewe.Mbona kila mpiga madili na mpenda dhuluma lazima amchukie makonda kwa hii style.
Mmojawapo ni Kagesheki.
Alipokuwa waziri wa maliasili na utalii alifanya madudu mabaya sana, vibali vya uwindaji kwa waarabu, operationi za kuumiza wananchi n.k
Lazima achukie na ndio maana hata hayati Walimchukia.
Hawa wamescript, si wanaccm wote, waacheni wacicheze filamu yao wenyewe.Ina madhara na madharau