Kagasheki: Mtindo wa Makonda kuwapa tumbo joto Mawaziri haufai. Dunia nzima kuna utaratibu wa kusikiliza kero za wananchi

Kagasheki: Mtindo wa Makonda kuwapa tumbo joto Mawaziri haufai. Dunia nzima kuna utaratibu wa kusikiliza kero za wananchi

Ameandika Khamis Kagasheki

" Duniani kote, serikali ni kioo cha nchi. Ktk nchi za kidemokrasia vyama vya siasa hutafuta dola na kuunda serikali ambayo huwajibika kwa chama kile. Lakini style ya kutia kitimoto mawaziri na waziri mkuu na kuwapa ultimatum hadharani haijengi bali inamadhara.

Ninakiri ulazima wa viongozi kutoa ufafanuzi wa mambo na kujibu hoja za wananchi kwani wao ndio waajiri wa viongozi. Zipo njia nyingi za kuhoji viongozi na kupata ufafanuzi kutoka kwao bila kuwavunjia heshima. Katibu Mkuu wangu, Daniel Chongolo style hii ya sasa, sio."
Huyo mwambieni,its now or never.Akasome ile reli ya kati ilijengwa kiaje.Wajeru hawakuwa na mchezo.Punda bila kumsukuma haendi.
 
Utaratibu wa kusikiliza kero za wananchi haujaandikwa kwenye kitabu, ambacho ulimwenguni kote tunatakiwa kujifunza huko.

Kero za wananchi zinasikilizwa kwa namna mbalimbali kulingana na jiografia ya eneo husika, na desturi ya watu wa sehemu hiyo.

Sio lazima kwetu Tanganyika tujifunze namna wamarekani na wafaransa wanavyosikiliza kero za wananchi wao, hjko kutakuwa sawa na utumwa wa kifikra kwetu.
Mkuu anavyofanya Makonda unaona ni sawa? ah wapi..hapa umejikwaa
 
Rudia kusoma kilichoandikwa halafu soma ulichoandika kama bado hautaona ujinga wako, basi utakuwa mwanachama wa wajinga.
Ungekuwa mwerevu kweli kama unavyojinadi ungenionesha huo ujinga wangu straight away, badala ya kuzunguka kuniambia nirudie kusoma... sina haja hiyo!.

Usijekuwa wewe ndie mjinga usiyejitambua, nioneshe "ujinga" wangu nikuoneshe wako.
 
Khamis Kagasheki mzee wa kiloyera , umeibuka tena mzee wangu .

Mwanao niko najitafuta nikulipe hela zako za kiloyera japo sikuzila pekee yangu hata watumishi wako wa Kasibante walishiriki pia
Yale mashindano yake ya mpira enzi zile yaliitwa Kagasheki Cup, hivi bado yapo?

Umenikumbusha Kyakailabwa, Rwamishenye, Kashai, Kagemu

Nyegera waitu nyingi sanaa kule
 
This is too low! Unadhani maigizo anayofanya Makonda ni sahihi? Makonda anatatuaje kero za wananachi kwa kupanda punda? Hao wateule wote wa rais waliojaa kila sehemu wanafanya nini ili awepo mpanda punda wa kusikiliza kero?
Kile Makonda anachofanya kukiita maigizo ni haki yako, lakini hiyo haki yako itakuwa ya kijinga kama utawekeza akili yote kwenye ngamia aliyepanda Makonda, na itakuwa ya kijinga zaidi endapo kero anazosemea Makonda zitafanyiwa kazi.

Hivyo kwa sasa kuita maigizo anachofanya Makonda ni propaganda tu, time ndio jibu zuri zaidi.
 
Kimsingi ndo ameiyafanya bukoba ichekwe hadi leo kwa miundombinu mibovu...na ugomvi wake na mayor huyo...

Asingekuwa yeye bukoba ingekuwa na soko, stendi kuu, barabara za mjini zaidi ya km 20...

Ila ubinafsi wake ukasababisha pesa za world bank kurudishwa...
Sidhani kuna mtu anachukiwa na wana bukoba kama huyu...inabidi anyongwe tu..

Hata kujenga Airport ya bukoba katikati ya mji huyu ndo sababu...

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kagasheki alikwamisha maendeleo ya Bukoba na siasa zake zisizokuwa na msingi sasa hivi anajifanya kupayuka wakati dogo Makonda anajitahidi kuwaamusha mawaziri na watendaji walikuwa wamelala usingizi wa pono
msingi
 
mkuu anavyofanya makonda unaona ni sawa? ah wapi..hapa umejikwaa
Kwani wewe ulitaka afanye kitu gani badala ya hiki anachofanya sasa?

Naona wengi wenu mmemezwa na chuki mliyonayo dhidi ya Makonda, mpaka mnashindwa kutenganisha utendaji wake wa sasa kulingana na nafasi aliyonayo, na yale aliyowahi kuyafanya siku za nyuma.

Tazameni jambo kwa wakati tuliopo kisha mlitolee hukumu kulingana na wakati tuliopo, msichanganye past za mtu mkazitumia kuhukumu present, hapo nyie ndio mnapotea.
 
Kile Makonda anachofanya kukiita maigizo ni haki yako, lakini hiyo haki yako itakuwa ya kijinga kama utawekeza akili yote kwenye ngamia aliyepanda Makonda, na itakuwa ya kijinga zaidi endapo kero anazosemea Makonda zitafanyiwa kazi.

Hivyo kwa sasa kuita maigizo anachofanya Makonda ni propaganda tu, time ndio jibu zuri zaidi.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ujinga mtupu.

Tatizo lako wewe ni mbinafsi sana na unadhani ukisusa ku-support upinzani utawakomoa usije unajikomoa wewe.

Haya unga juhudi za mama na tunakutakia kila la heri.
 
Utaratibu wa kusikiliza kero za wananchi haujaandikwa kwenye kitabu, ambacho ulimwenguni kote tunatakiwa kujifunza huko.

Kero za wananchi zinasikilizwa kwa namna mbalimbali kulingana na jiografia ya eneo husika, na desturi ya watu wa sehemu hiyo.

Sio lazima kwetu Tanganyika tujifunze namna wamarekani na wafaransa wanavyosikiliza kero za wananchi wao, hjko kutakuwa sawa na utumwa wa kifikra kwetu.
Kwa namna mambo yalivyo Afrika hakuna sababu tunaweza kuondokana na matatizo.

Matatizo yanatatuliwa kwa utaratibu. Sio tu utaratibu bali unaotakiwa kiakili.

Mambo ya kusisimua hisia hayatatui matatizo, na mambo haya yanafanyika kwenye jamii za watu wajinga.
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ujinga mtupu. Tatizo lako wewe ni mbinafsi sana na unadhani ukisusa ku-support upinzani utawakomoa usije unajikomoa wewe. Haya unga juhudi za mama na tunakutakia kila la heri.
Mimi ubinafsi wangu unakuja vipi na wapi?

Kosa la Makonda ni lipi kwa aina ya siasa anazofanya?

Nani amesusa ku support upinzani?! unataka tufanane kila kitu kama kondoo! Ujinga.

Unaandika mambo mengi yasiyo na kichwa wala miguu!

Tatizo una mihemko ya kike na hiyo ndiyo inakufanya umchukie Makonda mpaka usiweze kutumia akili kumhukumu.

Jadili hoja iliyoko mezani, wacha kuhukumu present kwa kutumia chuki ya past, huo ni ushamba.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom