Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Huyo mwambieni,its now or never.Akasome ile reli ya kati ilijengwa kiaje.Wajeru hawakuwa na mchezo.Punda bila kumsukuma haendi.Ameandika Khamis Kagasheki
" Duniani kote, serikali ni kioo cha nchi. Ktk nchi za kidemokrasia vyama vya siasa hutafuta dola na kuunda serikali ambayo huwajibika kwa chama kile. Lakini style ya kutia kitimoto mawaziri na waziri mkuu na kuwapa ultimatum hadharani haijengi bali inamadhara.
Ninakiri ulazima wa viongozi kutoa ufafanuzi wa mambo na kujibu hoja za wananchi kwani wao ndio waajiri wa viongozi. Zipo njia nyingi za kuhoji viongozi na kupata ufafanuzi kutoka kwao bila kuwavunjia heshima. Katibu Mkuu wangu, Daniel Chongolo style hii ya sasa, sio."