Kagasheki: Mtindo wa Makonda kuwapa tumbo joto Mawaziri haufai. Dunia nzima kuna utaratibu wa kusikiliza kero za wananchi

Utaratibu wa kusikiliza kero zs wananchi haujaandikwa kwenye kitabu, ambacho ulimwenguni kote tunatakiwa kujifunza huko.

Kero za wananchi zinasikilixwa kwa namna mbalimbali kulingana na jiografia ya eneo husika, na desturi ya watu wa sehemu hiyo.

Sio lazima kwetu Tanganyika tujifunze namna wamarekani na wafaransa wanavyosikiliza kero za wananchi wao, hjko kutakuwa sawa na utumwa wa kifikra kwetu.
Makonda sio mtendaji mkuu wa chama. Kufoka foka hadharani na kutoa amri ni usanii tuu. Wenzake walivyotumia style hiyo hiyo mbona watu wale waliosemwa ni mzigo bado wapo na nyadhifa zao kwenye chama?
 
Kagasheki hana lolote ni mmojawapo wa viongozi waliokuwa wabinafsi alichangia pakubwa kudumaza bukoba wakati wa Enzi yake yupo waziri na mbunge wa bukoba mjini hakuna lolote alilosaidia mkoa wa Kagera atulie tu muda wake umepita amwache bwana mdogo Makonda apige kazi.
Kwanza aliumbuliwa kwa Oparesheni yake ya mauaji
 
Mbona kila mpiga madili na mpenda dhuluma lazima amchukie Makonda kwa hii style.

Mmojawapo ni Kagasheki.

Alipokuwa Waziri wa Maliasili na Utalii alifanya madudu mabaya sana, vibali vya uwindaji kwa waarabu, operationi za kuumiza Wananchi n.k

Lazima achukie na ndio maana hata hayati Walimchukia.
 
Makonda ni ‘pawn’ katika political chase game, nyuma yake kuna ‘bi tozo’, hizi ni harakati zake tu za kuwapiga watu biti kupitia Makonda.

Hayo makelele ya Makonda hayamnyimi kiongozi yeyote usingi serikalini (toothless dog only barks but can’t bite) wanajua mwenye mamlaka ya kuwatumbua ni raisi and the woman doesn’t care; angekuwa anataka hayo mabadiliko makelele angeyapiga mwenyewe na kutumbua juu.

Just a facade ya kutaka kujifananisha na Magufuli apate imani ya watanzania. Ukipita huko Makonda alipokuwa akitoa amri utokuta hata moja lililotekelezwa.
 
Utaratibu wa kusikiliza kero zs wananchi haujaandikwa kwenye kitabu, ambacho ulimwenguni kote tunatakiwa kujifunza huko.

Kero za wananchi zinasikilixwa kwa namna mbalimbali kulingana na jiografia ya eneo husika, na desturi ya watu wa sehemu hiyo.

Sio lazima kwetu Tanganyika tujifunze namna wamarekani na wafaransa wanavyosikiliza kero za wananchi wao, hjko kutakuwa sawa na utumwa wa kifikra kwetu.
Tofautisha Kati ya kusikiliza kero za Wananchi ambalo ni jambo la msingi na kuwa summon Mawaziri na kuwapa ultimatum hadharani, Serikali duniani kote zina utaratibu wake maalum wa kujiendesha.
 
Hakuna tofauti hapo, hizo kero za wananchi ndio zinawahusu hao mawaziri, na bahati nzuri mawaziri wenyewe ni wa CCM, wanatekeleza ilani ya chama chao.

Hivyo wao wakiwa kama watendaji serikalini, Makonda lazima aongee nao na awape muda wa kutatua kero husika kwasababu ndio kazi waliyoteuliwa kuifanya, na ni jukumu la chama chao.
 
Tofautisha Kati ya kusikiliza kero za Wananchi ambalo ni jambo la msingi na kuwa summon Mawaziri na kuwapa ultimatum hadharani, Serikali duniani kote zina utaratibu wake maalum wa kujiendesha.
Mbona hata Naibu Waziri Mkuu anafanya hivyo kwa watendaji? Tena jana katoa maelekezo watu waondolewe….! Huu ni wivu kwa Makonda😂😂😂😂😂
 
Utaratibu wa kusikiliza kero za wananchi haujaandikwa kwenye kitabu, ambacho ulimwenguni kote tunatakiwa kujifunza huko.

Kero za wananchi zinasikilizwa kwa namna mbalimbali kulingana na jiografia ya eneo husika, na desturi ya watu wa sehemu hiyo.

Sio lazima kwetu Tanganyika tujifunze namna wamarekani na wafaransa wanavyosikiliza kero za wananchi wao, hjko kutakuwa sawa na utumwa wa kifikra kwetu.

Rudia kusoma kilichoandikwa halafu soma ulichoandika kama bado hautaona ujinga wako, basi utakuwa mwanachama wa wajinga.
 
Utaratibu wa kusikiliza kero za wananchi haujaandikwa kwenye kitabu, ambacho ulimwenguni kote tunatakiwa kujifunza huko.

Kero za wananchi zinasikilizwa kwa namna mbalimbali kulingana na jiografia ya eneo husika, na desturi ya watu wa sehemu hiyo.

Sio lazima kwetu Tanganyika tujifunze namna wamarekani na wafaransa wanavyosikiliza kero za wananchi wao, hjko kutakuwa sawa na utumwa wa kifikra kwetu.
This is too low! Unadhani maigizo anayofanya Makonda ni sahihi? Makonda anatatuaje kero za wananachi kwa kupanda punda? Hao wateule wote wa rais waliojaa kila sehemu wanafanya nini ili awepo mpanda punda wa kusikiliza kero?
 
Mbona hata Naibu Waziri Mkuu anafanya hivyo kwa watendaji? Tena jana katoa maelekezo watu waondolewe….! Huu ni wivu kwa Makonda😂😂😂😂😂
Kijana wa chama, Hana Cheo serikalini, atoe maoni chamani
 
Mbona kila mpiga madili na mpenda dhuluma lazima amchukie makonda kwa hii style.

Mmojawapo ni Kagesheki.

Alipokuwa waziri wa maliasili na utalii alifanya madudu mabaya sana, vibali vya uwindaji kwa waarabu, operationi za kuumiza wananchi n.k

Lazima achukie na ndio maana hata hayati Walimchukia.
Tanzania ipo ilipo kwa sababu ya wajinga kama wewe.
 
Back
Top Bottom