Kagasheki: Mtindo wa Makonda kuwapa tumbo joto Mawaziri haufai. Dunia nzima kuna utaratibu wa kusikiliza kero za wananchi

Huyo mwambieni,its now or never.Akasome ile reli ya kati ilijengwa kiaje.Wajeru hawakuwa na mchezo.Punda bila kumsukuma haendi.
 
Mkuu anavyofanya Makonda unaona ni sawa? ah wapi..hapa umejikwaa
 
Rudia kusoma kilichoandikwa halafu soma ulichoandika kama bado hautaona ujinga wako, basi utakuwa mwanachama wa wajinga.
Ungekuwa mwerevu kweli kama unavyojinadi ungenionesha huo ujinga wangu straight away, badala ya kuzunguka kuniambia nirudie kusoma... sina haja hiyo!.

Usijekuwa wewe ndie mjinga usiyejitambua, nioneshe "ujinga" wangu nikuoneshe wako.
 
Khamis Kagasheki mzee wa kiloyera , umeibuka tena mzee wangu .

Mwanao niko najitafuta nikulipe hela zako za kiloyera japo sikuzila pekee yangu hata watumishi wako wa Kasibante walishiriki pia
Yale mashindano yake ya mpira enzi zile yaliitwa Kagasheki Cup, hivi bado yapo?

Umenikumbusha Kyakailabwa, Rwamishenye, Kashai, Kagemu

Nyegera waitu nyingi sanaa kule
 
This is too low! Unadhani maigizo anayofanya Makonda ni sahihi? Makonda anatatuaje kero za wananachi kwa kupanda punda? Hao wateule wote wa rais waliojaa kila sehemu wanafanya nini ili awepo mpanda punda wa kusikiliza kero?
Kile Makonda anachofanya kukiita maigizo ni haki yako, lakini hiyo haki yako itakuwa ya kijinga kama utawekeza akili yote kwenye ngamia aliyepanda Makonda, na itakuwa ya kijinga zaidi endapo kero anazosemea Makonda zitafanyiwa kazi.

Hivyo kwa sasa kuita maigizo anachofanya Makonda ni propaganda tu, time ndio jibu zuri zaidi.
 
Kagasheki alikwamisha maendeleo ya Bukoba na siasa zake zisizokuwa na msingi sasa hivi anajifanya kupayuka wakati dogo Makonda anajitahidi kuwaamusha mawaziri na watendaji walikuwa wamelala usingizi wa pono
msingi
 
mkuu anavyofanya makonda unaona ni sawa? ah wapi..hapa umejikwaa
Kwani wewe ulitaka afanye kitu gani badala ya hiki anachofanya sasa?

Naona wengi wenu mmemezwa na chuki mliyonayo dhidi ya Makonda, mpaka mnashindwa kutenganisha utendaji wake wa sasa kulingana na nafasi aliyonayo, na yale aliyowahi kuyafanya siku za nyuma.

Tazameni jambo kwa wakati tuliopo kisha mlitolee hukumu kulingana na wakati tuliopo, msichanganye past za mtu mkazitumia kuhukumu present, hapo nyie ndio mnapotea.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ujinga mtupu.

Tatizo lako wewe ni mbinafsi sana na unadhani ukisusa ku-support upinzani utawakomoa usije unajikomoa wewe.

Haya unga juhudi za mama na tunakutakia kila la heri.
 
Kwa namna mambo yalivyo Afrika hakuna sababu tunaweza kuondokana na matatizo.

Matatizo yanatatuliwa kwa utaratibu. Sio tu utaratibu bali unaotakiwa kiakili.

Mambo ya kusisimua hisia hayatatui matatizo, na mambo haya yanafanyika kwenye jamii za watu wajinga.
 
Mimi ubinafsi wangu unakuja vipi na wapi?

Kosa la Makonda ni lipi kwa aina ya siasa anazofanya?

Nani amesusa ku support upinzani?! unataka tufanane kila kitu kama kondoo! Ujinga.

Unaandika mambo mengi yasiyo na kichwa wala miguu!

Tatizo una mihemko ya kike na hiyo ndiyo inakufanya umchukie Makonda mpaka usiweze kutumia akili kumhukumu.

Jadili hoja iliyoko mezani, wacha kuhukumu present kwa kutumia chuki ya past, huo ni ushamba.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…