Nimethibitisha vipi sasa? He who alledges must prove, wewe umeniita mpumbavu bila kunionesha upumbavu wangu, nimekupa nafasi ufanye hivyo umeshindwa, ajabu ndio unakimbia kabisa... Wengi wenu mna mihemko ya kitoto sana, na mnafanana akili.Ushathibitisha wewe ni Mpumbavu, ma sifa yake kuu huwa afaham ni Mpumbavu, yani mwerevu machoni pake mwenye
Therefore kila la heri....
Pumbavu -
Bashite kweli ni zero brainUtaratibu wa kusikiliza kero za wananchi haujaandikwa kwenye kitabu, ambacho ulimwenguni kote tunatakiwa kujifunza huko.
Kero za wananchi zinasikilizwa kwa namna mbalimbali kulingana na jiografia ya eneo husika, na desturi ya watu wa sehemu hiyo.
Sio lazima kwetu Tanganyika tujifunze namna wamarekani na wafaransa wanavyosikiliza kero za wananchi wao, hjko kutakuwa sawa na utumwa wa kifikra kwetu.
Kisa Kagasheki amesema anachofanya hakistahili!Bashite kweli ni zero brain
denoo JG Makonda pigeni kaziiiii.. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Mimi ubinafsi wangu unakuja vipi na wapi?
Kosa la Makonda ni lipi kwa aina ya siasa anazofanya?
Nani amesusa ku support upinzani?! unataka tufanane kila kitu kama kondoo! Ujinga.
Unaandika mambo mengi yasiyo na kichwa wala miguu!
Tatizo una mihemko ya kike na mihemko hiyo ndiyo inakufanya umchukie Makonda mpaka usiweze kutumia akili kumhukumu.
Jadili hoja iliyoko mezani, wacha kuhukumu present kwa kutumia chuki ya past, huo ni ushamba.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Muache apige kazi, na wapinzani nao wapige kazi zao, sio kisa kuwa mpinzani ndio tufanane kifikra kama kondoo, huyo sio mimi, tafuta kondoo wenzio.denoo JG Makonda pigeni kaziiiii.. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Sheeeit.... nime-mix madawa. Kumbe denoo JG siyo denooJ . Nilikuwa nimeshangaa kweli kweli jembe denooJ kuandika upupu hivi. Kumbe ni wewe denoo JG ? Samahani sana. Ulichoandika ni haki yako kabisa kwa level yako..Mimi ubinafsi wangu unakuja vipi na wapi?
Kosa la Makonda ni lipi kwa aina ya siasa anazofanya?
Nani amesusa ku support upinzani?! unataka tufanane kila kitu kama kondoo! Ujinga.
Unaandika mambo mengi yasiyo na kichwa wala miguu!
Tatizo una mihemko ya kike na mihemko hiyo ndiyo inakufanya umchukie Makonda mpaka usiweze kutumia akili kumhukumu.
Jadili hoja iliyoko mezani, wacha kuhukumu present kwa kutumia chuki ya past, huo ni ushamba.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
asee nadhani wanamzomea au kumng'ong'a kiaina kwa siri.Hata Rais anamdharauvilevile maana kutwa anamtaja Magu
Ila wabongo ni wapumbavu sana! Waziri wanahitaji heshima gani wakati anaishi kwa kodi za wananchi! Heshima ya waziri ni kufanya kazi!
Huo ndio utofauti kati ya kiongozi na mtawala.Ameandika Khamis Kagasheki
" Duniani kote, serikali ni kioo cha nchi. Ktk nchi za kidemokrasia vyama vya siasa hutafuta dola na kuunda serikali ambayo huwajibika kwa chama kile. Lakini style ya kutia kitimoto mawaziri na waziri mkuu na kuwapa ultimatum hadharani haijengi bali inamadhara.
Ninakiri ulazima wa viongozi kutoa ufafanuzi wa mambo na kujibu hoja za wananchi kwani wao ndio waajiri wa viongozi. Zipo njia nyingi za kuhoji viongozi na kupata ufafanuzi kutoka kwao bila kuwavunjia heshima. Katibu Mkuu wangu, Daniel Chongolo style hii ya sasa, sio."
Akili ndogo lazima atetee ujinga wa MakondaUtaratibu wa kusikiliza kero za wananchi haujaandikwa kwenye kitabu, ambacho ulimwenguni kote tunatakiwa kujifunza huko.
Kero za wananchi zinasikilizwa kwa namna mbalimbali kulingana na jiografia ya eneo husika, na desturi ya watu wa sehemu hiyo.
Sio lazima kwetu Tanganyika tujifunze namna wamarekani na wafaransa wanavyosikiliza kero za wananchi wao, hjko kutakuwa sawa na utumwa wa kifikra kwetu.
📌📌📌📌🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ujinga mtupu. Tatizo lako wewe ni mbinafsi sana na unadhani ukisusa ku-support upinzani utawakomoa usije unajikomoa wewe. Haya unga juhudi za mama na tunakutakia kila la heri.
Jamii zilizostaarabika huwa zinajiepusha sana kutumia mifumo ya ki-populist na Kangaroo courts kwa sababu japo vinaweza kuonekana kutatua kero ndani ya muda mfupu huwa vinaishia kuleta matokeo mabaya sana mara nyingi katika kipindi cha muda mrefu.Utaratibu wa kusikiliza kero za wananchi haujaandikwa kwenye kitabu, ambacho ulimwenguni kote tunatakiwa kujifunza huko.
Kero za wananchi zinasikilizwa kwa namna mbalimbali kulingana na jiografia ya eneo husika, na desturi ya watu wa sehemu hiyo.
Sio lazima kwetu Tanganyika tujifunze namna wamarekani na wafaransa wanavyosikiliza kero za wananchi wao, hjko kutakuwa sawa na utumwa wa kifikra kwetu.
Nawajua Sana, huyu Kagasheki asituone sisi wajinga!Dah kweli wamjua vilivyo kwa leo naomba ishia hapo
Je ndugu yake aitwaye Sued Kagasheki , diwani kata ya rwamishenye na mwenyekiti wa mtaa wa rwamishenye unayajua ?
Basi kwa leo achutame msamehe tu
Poa Mkuu naishia hapa! Nimehifadhi Kinzhal hypersonic missiles!Dah kweli wamjua vilivyo kwa leo naomba ishia hapo
Je ndugu yake aitwaye Sued Kagasheki , diwani kata ya rwamishenye na mwenyekiti wa mtaa wa rwamishenye unayajua ?
Basi kwa leo achutame msamehe tu
Shs ngapi?Itamkosti
Kuwapa mawaziri joto kama anavyofanya makonda ni sawa kabisa. Mawaziri wengi wanawaza tu jinsi ya wao kupata hela wakishapewa uteuzi. Hawalali wakiwaza matatizo ya wananchi na jinsi gani kutatua. Tena mama kawaambia wale kwa urefu wa kamba zao za malisho kwa hivyo wanafikiria dili tu. Makonda yuko sahihi kwa niaba ya chama kuwaandama bila pozi.Ameandika Khamis Kagasheki
" Duniani kote, serikali ni kioo cha nchi. Ktk nchi za kidemokrasia vyama vya siasa hutafuta dola na kuunda serikali ambayo huwajibika kwa chama kile. Lakini style ya kutia kitimoto mawaziri na waziri mkuu na kuwapa ultimatum hadharani haijengi bali inamadhara.
Ninakiri ulazima wa viongozi kutoa ufafanuzi wa mambo na kujibu hoja za wananchi kwani wao ndio waajiri wa viongozi. Zipo njia nyingi za kuhoji viongozi na kupata ufafanuzi kutoka kwao bila kuwavunjia heshima. Katibu Mkuu wangu, Daniel Chongolo style hii ya sasa, sio."
Kabisaaaaa na nimekuelewaUtaratibu wa kusikiliza kero za wananchi haujaandikwa kwenye kitabu, ambacho ulimwenguni kote tunatakiwa kujifunza huko.