Kagasheki: Mtindo wa Makonda kuwapa tumbo joto Mawaziri haufai. Dunia nzima kuna utaratibu wa kusikiliza kero za wananchi

Ushathibitisha wewe ni Mpumbavu, ma sifa yake kuu huwa afaham ni Mpumbavu, yani mwerevu machoni pake mwenye

Therefore kila la heri....

Pumbavu -
Nimethibitisha vipi sasa? He who alledges must prove, wewe umeniita mpumbavu bila kunionesha upumbavu wangu, nimekupa nafasi ufanye hivyo umeshindwa, ajabu ndio unakimbia kabisa... Wengi wenu mna mihemko ya kitoto sana, na mnafanana akili.

Kwaheri pia.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Utaratibu wa kusikiliza kero za wananchi haujaandikwa kwenye kitabu, ambacho ulimwenguni kote tunatakiwa kujifunza huko.

Kero za wananchi zinasikilizwa kwa namna mbalimbali kulingana na jiografia ya eneo husika, na desturi ya watu wa sehemu hiyo.

Sio lazima kwetu Tanganyika tujifunze namna wamarekani na wafaransa wanavyosikiliza kero za wananchi wao, hjko kutakuwa sawa na utumwa wa kifikra kwetu.
Bashite kweli ni zero brain
 
Mimi ubinafsi wangu unakuja vipi na wapi?

Kosa la Makonda ni lipi kwa aina ya siasa anazofanya?

Nani amesusa ku support upinzani?! unataka tufanane kila kitu kama kondoo! Ujinga.

Unaandika mambo mengi yasiyo na kichwa wala miguu!

Tatizo una mihemko ya kike na mihemko hiyo ndiyo inakufanya umchukie Makonda mpaka usiweze kutumia akili kumhukumu.

Jadili hoja iliyoko mezani, wacha kuhukumu present kwa kutumia chuki ya past, huo ni ushamba.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
denoo JG Makonda pigeni kaziiiii.. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Sheeeit.... nime-mix madawa. Kumbe denoo JG siyo denooJ . Nilikuwa nimeshangaa kweli kweli jembe denooJ kuandika upupu hivi. Kumbe ni wewe denoo JG ? Samahani sana. Ulichoandika ni haki yako kabisa kwa level yako..
 
Kwa hali ilivyo Mawaziri na watendaji hawaheshimu watu acha qavunjiwe heshima kama walivyo wao.
 
Ameandika Khamis Kagasheki

" Duniani kote, serikali ni kioo cha nchi. Ktk nchi za kidemokrasia vyama vya siasa hutafuta dola na kuunda serikali ambayo huwajibika kwa chama kile. Lakini style ya kutia kitimoto mawaziri na waziri mkuu na kuwapa ultimatum hadharani haijengi bali inamadhara.

Ninakiri ulazima wa viongozi kutoa ufafanuzi wa mambo na kujibu hoja za wananchi kwani wao ndio waajiri wa viongozi. Zipo njia nyingi za kuhoji viongozi na kupata ufafanuzi kutoka kwao bila kuwavunjia heshima. Katibu Mkuu wangu, Daniel Chongolo style hii ya sasa, sio."
Huo ndio utofauti kati ya kiongozi na mtawala.
 
Utaratibu wa kusikiliza kero za wananchi haujaandikwa kwenye kitabu, ambacho ulimwenguni kote tunatakiwa kujifunza huko.

Kero za wananchi zinasikilizwa kwa namna mbalimbali kulingana na jiografia ya eneo husika, na desturi ya watu wa sehemu hiyo.

Sio lazima kwetu Tanganyika tujifunze namna wamarekani na wafaransa wanavyosikiliza kero za wananchi wao, hjko kutakuwa sawa na utumwa wa kifikra kwetu.
Akili ndogo lazima atetee ujinga wa Makonda

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Utaratibu wa kusikiliza kero za wananchi haujaandikwa kwenye kitabu, ambacho ulimwenguni kote tunatakiwa kujifunza huko.

Kero za wananchi zinasikilizwa kwa namna mbalimbali kulingana na jiografia ya eneo husika, na desturi ya watu wa sehemu hiyo.

Sio lazima kwetu Tanganyika tujifunze namna wamarekani na wafaransa wanavyosikiliza kero za wananchi wao, hjko kutakuwa sawa na utumwa wa kifikra kwetu.
Jamii zilizostaarabika huwa zinajiepusha sana kutumia mifumo ya ki-populist na Kangaroo courts kwa sababu japo vinaweza kuonekana kutatua kero ndani ya muda mfupu huwa vinaishia kuleta matokeo mabaya sana mara nyingi katika kipindi cha muda mrefu.
 
Ameandika Khamis Kagasheki

" Duniani kote, serikali ni kioo cha nchi. Ktk nchi za kidemokrasia vyama vya siasa hutafuta dola na kuunda serikali ambayo huwajibika kwa chama kile. Lakini style ya kutia kitimoto mawaziri na waziri mkuu na kuwapa ultimatum hadharani haijengi bali inamadhara.

Ninakiri ulazima wa viongozi kutoa ufafanuzi wa mambo na kujibu hoja za wananchi kwani wao ndio waajiri wa viongozi. Zipo njia nyingi za kuhoji viongozi na kupata ufafanuzi kutoka kwao bila kuwavunjia heshima. Katibu Mkuu wangu, Daniel Chongolo style hii ya sasa, sio."
Kuwapa mawaziri joto kama anavyofanya makonda ni sawa kabisa. Mawaziri wengi wanawaza tu jinsi ya wao kupata hela wakishapewa uteuzi. Hawalali wakiwaza matatizo ya wananchi na jinsi gani kutatua. Tena mama kawaambia wale kwa urefu wa kamba zao za malisho kwa hivyo wanafikiria dili tu. Makonda yuko sahihi kwa niaba ya chama kuwaandama bila pozi.
 
Huwezi Kuwa mchafu ukatoa hoja ya maana! Kama unaujua umaana ungedeal na uchafu wako kwanza.

Kagasheki hana moral authority ya kumnyoshea mtu kidole!
 
Utaratibu wa kusikiliza kero za wananchi haujaandikwa kwenye kitabu, ambacho ulimwenguni kote tunatakiwa kujifunza huko.

Kero za wananchi zinasikilizwa kwa namna mbalimbali kulingana na jiografia ya eneo husika, na desturi ya watu wa sehemu hiyo.

Sio lazima kwetu Tanganyika tujifunze namna wamarekani na wafaransa wanavyosikiliza kero za wananchi wao, hjko kutakuwa sawa na utumwa wa kifikra kwetu.
Kabisaaaaa na nimekuelewa
 
Back
Top Bottom