Kagera (Bukoba) mahali pa ovyo kuwahi kutembelea

Kuhusu kupata kiwanja ni sahihi, hakuna mtu akate shamba lake lenye migomba akuuzie kwa pesa njaa. Tofautisha Mhaya na Mzaramo.

Kuhusu kupata kiwanja ni sahihi, hakuna mtu akate shamba lake lenye migomba akuuzie kwa pesa njaa. Tofautisha Mhaya na Mzaramo.
Elewa mada

Sio kwa pesa njaa tu, tatizo ni Ubinafsi na Ukabila...Mkikaa peke yenu hivyo itakuwa ngumu sana kuendelea

Pokeeni Wageni wawekeze mkoa uendelee

Sote ni Watanzania, ni Ndugu...Hata London wageni ni wengi sana hasa Wahindi, Paris na New York pia
 
Funza? Kwa mwaka 2025???? What the hell?
luambo makiadi ni ya kweli haya kuhusu Bukoba?
 
Sahihi kabisa, nimekaa Kagera miaka takriban mitano, ilikuwa shangwe na burudani. Japo mwanzo maisha yao yalinishangaza. Ni watu wema hasa kama wewe ni top boss au una pesa mingi
 
Tatizo ni hapo kwenye kutumia fursa.

Uncle wangu alifanikiwa kupata eneo mjini na kufungua Lodge, akaanza kutafuta Wadada wa Kihaya ili kumsaidia kwenye kutoa huduma kwa Wateja....Wale mabinti wakawa wanakatazwa na Wazazi wao kufanya kazi pale kwa sababu ni Lodge ya Mtu wa kuja so walikuwa wanafanya kazi wiki kadhaa wanaondoka...mpaka Mjomba baadae alishindwa kuendesha lodge lakini hatimaye akaagiza mabinti kutoka Dsm, Singida n.k
 
Suala la Ushirikina likoje huko Bukoba?
 
Wekeza kwenye kilimo cha ufugaji kwani chakula huwa hakibaguliwi. Simpo. Anzisha biashara ya kukamata senene watanunua. Pia, jifunze kihaya au jitahidi kuwaonyesha kuwa unawajli na unajitahidi kujifunza lugha yao.
 
Suala la Ushirikina likoje huko Bukoba?
Wahaya wana dawa za mitishamba nyingi nyingi za kutibu magonjwa lakini ushirikina si kwa kiasi kikubwa kama mikoa mingine. Ni vigumu sana kama umesihi kagera kusikia sijui mambo ya chuma ulete, sijui nini... japo ushirikina pia upo na kuna vijiji zamani vilikuwa vinaogopwa hadi wakazi wa huko walikuwa waogopa kujitambulisha kuwa wanatoka huko. Kuna kijiji kama buzi.
Ila mkuu mimi nimeisha Kagera, Mwanza, iringa, Mbeya, Arusha, Kahama, Zanzibar, Dar, Dodoma na kwingine kupita kupita, ila kusema kweli sina ushaidi wa kushuhudia ushirikina na effect zake zaidi tu ya kuusikia.
 
Ukweli mtupu.
1. Wahaya wabinafsi sana
2. Kagera Hakuna maendeleo Sababu ya ubinafsi.
3. Tofauti ya wachaga na wahaya ni utafutaji ila mengine wanafanana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…