Kagera (Bukoba) mahali pa ovyo kuwahi kutembelea

Wa iraqw shikamoo nii....

Mna mabinti wenye rangi nzuri na sura.....
Shepu ni za kawaida tuu

Lakini kwa wanavyopenda kwenda na kila mtu nimeahirisha
Mshikaji wangu alibahatisha mmoja wife material kabisaa tukiwa chuoni, first year mpaka tuna maliza had now wako wote, na alimkuta sealed, ni zaid ya five years, mshikaji wangu pale kapata mtu kweli kweli, ni bahati pia.
 
Mshikaji wangu alibahatisha mmoja wife material kabisaa tukiwa chuoni, first year mpaka tuna maliza had now wako wote, na alimkuta sealed, ni zaid ya five years, mshikaji wangu pale kapata mtu kweli kweli, ni bahati pia.
Wapo hata hapa wakimya

Mimi ni mtu flani mkimya lakini tukizoeana ni mcheshi yaan mpka naweza kukukera

Lakini mademu wakimya mm sipatani nao sana napenda demu asiwe tuu muongeaji sana au mswahili sana na mzungu sana simtaki

Ila yule mkimya twende out anakwambia sitaki au siwezi nenda uniletee, sjui twende pale daah πŸ˜‚

Ila wa iraqw ukambahatisha sura rangi na mwenye umbo la kawaida tuu maake sio wanene wale basi utafaidi ishu sasa kukitembeza
 
Hii mentality ni ya hovyo sana na ukiingia na hyo mahali popote ambapo ni ugenini lazima utapachukia kwa sababu we unataka watu waishi km ulivozoea kwenu, km ni mtu mwenye akili safi inatakiwa ujue jinsi ya kuishi na watu tofauti tofauti ndio maana huko bk kuna watu ni wageni wameacha mikoa yao wameenda kutajirikia huko na wameweka kambi huko maisha yao.Tatizo mkienda mikoa ya watu mnapenda kujifanya wajuaji sasa hicho kwa mhaya lazima utamchukia tu , mi nimeishi bukoba muda mrefu lkn nakwambia maduka ya wageni hasa wachaga, wasukuma yanauza sana kuliko hata ya wazawa. Na hayo mambo uliyoandika yapo sehem nyingi ambako hakuna mchanganyiko mkubwa watu nenda Kigoma, Dodoma kule ndani kwa warangi na wagogo, nenda moshi uone utakavotritiwa we mgeni.
 
Mkuu bila shaka kabla ya kujibu umepitia wadau wanasemaje kama bado umeidhulumu nafasi yako kama ndio legeza fuvu lako na pole ila ndo ukweli HALISI.
 
Bugabo wameacha kula binadamu?
Ndiyo maana niliwahi kusema hapa kwamba ukiona mtu anakudharau ujue amegundua huna akili, hujitambui na zaidi ni bendera fuata upepo. Wenye akili ndiyo wanaojua maana ya kwanini hiyo tarafa ya bugabo pamoja na kata zake zote na vijiji vyake tayari ipo kwenye green light ya kuchukuliwa kuwa sehemu ya manispaa pamoja na kashfa zote za uchawi, kula watu (wafu) zinazoenezwa na watu kuja na baadhi ya wahaya wasiojielewa na kujitambua huku wakitishia watu wasiende huko wakati wengi wanapapenda sababu ya kuwa na fursa za kibiashara zikichagizwa na uwepo wa mialo kadhaa ya uvuvi. Acha ushamba njoo hapa mwaloni Igabilo au kyamalange bugabo tukawekeze kwenye uvuvi achana na ujinga unaomezeshwa na wajinga wenzio
 
Mkuu bila shaka kabla ya kujibu umepitia wadau wanasemaje kama bado umeidhulumu nafasi yako kama ndio legeza fuvu lako na pole ila ndo ukweli HALISI.
Nahiyo ndo shida yako kufata kile watu wanasema kwaiyo watu ndo wana akili yako ? Ww umeishi huko ila umekuja na uzi km huu ila wenzako wameishi huko wanavuna utajiri hiyo inatosha kuonesha kwa jinsi gani watu tunatofautiana uwezo wa kufikiria na kugeuza changamoto kuwa fursa. Nakushauri km we mtafutaji badili mtazamo wako wa kufikiri na ujue namna ya kuishi na watu tofauti tofauti la sivo rudi uishi sehem ulikozaliwa ukakulia huko kwingine utapata tabu
 
Nilifika hapo IGABILO kiukweli Pana future nzuri nakiri Hilo
 
Tehetehe.... Haya, jibu swali, Bugabo wameacha kula binadamu?
 
Seen.
 
Kuna jamaa yangu yeye ni mwalimu hapo mkoani aisee amejaribu kutafuta uhamisho imeshindikana hata kwa hao wenyeji kurudi kufanya kazi kwao hawataki kurudi yaani kiujumla Kila ililo liandika ni kweli tupu jamaa Kila nikiongea naye ni mtu mwenye stresi tupu kwa jinsi wenyeji wanavyo mtendea kama Kuna msaada naomba mumsaidie kuhama huo mkoa wadau Yuko mwaka wa Tano kama sikosei
 
Takwimu hazijawahi kuongopa,takwimu za Ofisi ya Taifa ya Takwimu kwa miaka 3 mfululizo zinaonesha Kagera ndio Mkoa maskini Tanzania.

Huwa nikipata safari ya kwenda Bukoba unawaza hata kupata Hotel nzuri za kulala,yani Hotel na Lodge zao ni mbovu kupindukia wanazidiwa na Kigoma.
 
Nilifika hapo IGABILO kiukweli Pana future nzuri nakiri Hilo
Hapa unadhihirisha ni namna gani ulivyoandika ili kujionesha unajua kuandika mihemko uliyonayo na members wamekuprove wrong. Rejea ulichoandika kwenye thread yako na ulichokiri hapa.

Thread yako nikianza kuichambua kipengele kwa kipengele utajiona ni namna gani ulivyo jinga kama ulivyoanza kujionesha hapa maskini mkubwa wewe.

Unaongelea ardhi kuuzwa bei ghali na wakati huo huo unasema hakufai. Sasa hiyo ardhi ulitaka kununua ili ikufaidishe namna gani wakati hakufai? Kwanini uhangaike na pasipo faa badala ya kuhangaika na ardhi ya kwenu kunakofaa au sehemu nyingine?

Kwanza unapaswa kuelewa ya kwamba huko hakuna eneo wazi lisilo na mwenyewe na usidanganyike kuona unapita sehemu kuko wazi na kumezungukwa na miti ya kupanda ukafikiri hakuna matumizi, pole sana. Hiyo kijani unayoiona haipo kwa bahati mbaya bali ni jitihada za jamii husika kutunza uoto wakipata support pia ya mvua. Ukifika sehemu tumia muda wako kuijua na si kujibeba beba na thread zisizokuwa na mbele wala nyuma.

Ungeongelea suala la siasa huko labda ningekuelewa lakini mengine unapuyanga puyanga kwenye umande.
 
Eti mwalimu mkoani. Kilaza wewe na acha kujionesha ulivyo mbumbumbu Hao watu ukienda na tabia zako mbovumbovu za kulewa wakati unapaswa kufundisha watoto lazima watakushughulikia. Eti wenyeji hawataki kurudi kufanya kazi kwao, aya twambie wewe kwenu ni wapi ili tukusaidie uhamie huko chap.

Badala ya kufanya kazi iliyokupeleka unabaki kutafuta sababu ya eti wenyeji hawataki kurudi kufanya kazi kwao. Kilaza mkubwa wewe, upo huru kufanya kazi sehemu yoyote Tanzania hii hivyo usitake kila mmoja afanane na wewe na ndiyo maana hao watu wanawaona hamnazo hasa nyie watoto mchele mchele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…