Kagera (Bukoba) mahali pa ovyo kuwahi kutembelea

Unaonekana kuwa na matatizo makubwa sana kuliko hao wahaya.

Na kama kabila lako zima lipo hivi basi ni hatari sana, ni bora huko jehanamu kwa mashetani.
 
Kaka nakuelewa sanaaa ila Kwa tunao jitafuta hii Sio sehemu sahihi kuwepo
Nimekwambia wewe ni jinga fulani hivi na ndiyo maana hata heading ya thread yako umeandika Mkoa wa Kagera (Bukoba) wakati huo mkoa haujawahi kuitwa Bukoba hata siku moja.

Eti tunaojitafuta, mnajitafuta wewe na nani wakati ulitoka kwenu na begi lako ukiwa mwenyewe? Ulifungwa pingu au kitambaa usoni na kujikuta upo hapo ulipo? Kama sehemu haikufai huna budi kuondoka na kwenda panapokufaa kwa maana hata wakati unajibeba kwenda huko uliona panakufaa. Acha wanaoona panawafaa waendelee kujitafuta huko na wewe kajitafute huko pengine. Tanzania ni kubwa sana na upo huru kujitafuta sehemu yoyote kwa kazi halali.

Tafuta wasukuma walioko huko waliojikita kwenye kilimo watakuonesha cha kufanya. Tafuta wachaga walioko huko pia watakuonesha cha kufanya. Tafuta wahindi walioko huko watakuonesha cha kufanya na zaidi utajifunza kutoka kwao kwamba popote unajitafuta na ukiona mambo hayaendi unatafuta sehemu nyingine.

Nipo hapa kalebe kwenye ujenzi wa daraja njoo uungane na mzee anayelima mpunga hapa mwambao wa mto ngono ujifunze kwake na uenda ukawa kibarua wake.
 
Umemfafanulia vyema mkuu. It seems ana matatizo makubwa kuliko hata hao anaowaita mashetani.

Shukrani mkuu na kwangu hakujibu nilichoandika kwa sababu ameona uhalisia. Mkoa wa dodoma aliotoka na mimi ulinitreat vibaya kama mwanafunzi Ila sijawahi kuita watu wa dodoma mashetani

Naamoni amejifunza
 
Mkuu bila shaka kabla ya kujibu umepitia wadau wanasemaje kama bado umeidhulumu nafasi yako kama ndio legeza fuvu lako na pole ila ndo ukweli HALISI.
Si ulisema thread nzima mimi ndio positive Ila kila anaeongelea positively unamuattack. Lengo lako ni nini

unawashawishi wengine wasiende Ila ulikuwa umeulizia bei ya ardhi na kukiri potential ya eneo uliloenda.. Ila hukutaka kuandika kuhusu hiyo "potential" Mwanzoni Kwa sababu ingeondoa ile chuki uliyotaka kuitapika humu kwa sababu unataka kila mtu apachukie

Nuliipuuza hii thread baada ya kuhisi kuwa Unachokiongelea kipo personal zaidi na kwa jinsi umeandika na hata unavyowajibu watu humu. Imenionesha una haiba ya aina gani, na niamini

Ukijikweza na kujiona bora, HAKUNA MKOA ULIOJAA WENYEJI WATAKUTENDEA VIZURI kwa sababu wenyeji huwa wana tabia ya kukusoma collectively. Na hata kama mwanzoni haitokuwa rahisi kuchangamana Ila ukijulikana ni mtu mwema hakuna sehemu utashindwa kukaa. Ila ukijiona mbora na mjivuni, hata uswazi ya Dar utashindwa kukaa. Bro fix your attitude, usilaumu watu
 
Shukrani mkuu na kwangu hakujibu nilichoandika kwa sababu ameona uhalisia. Mkoa wa dodoma aliotoka na mimi ulinitreat vibaya kama mwanafunzi Ila sijawahi kuita watu wa dodoma mashetani

Naamoni amejifunza
Nam, nadhani somo limeingia

Wengi walio negative dhidi ya jamii/watu fulani huwa ni wale akina nyani haoni kundule
 
Customer care uliyoizoea wewe na nani kilaza wewe. Fuata kilichokupeleka lipia ondoka hiyo asante utaikuta kwa mumeo, mkeo au watoto wako nyumbani huko.

Ebu tupe orodha ya hao wageni wote walioanzisha biashara wakashindwa kilaza wewe. Kama unakwazika na lugha basi huna budi kujifunza ili utimize ule msemo wa kwamba kama huwezi washinda basi ungana nao
 
Mbona kama vita🀣🀣🀣🀣....
 
Customer care uliyoizoea wewe na nani kilaza wewe. Fuata kilichokupeleka lipia ondoka hiyo asante utaikuta kwa mumeo, mkeo au watoto wako nyumbani huko.
Mkuu umetumwa au??πŸ€”
 
Basi enda uishi, we will support you uende.
Sio niende niishi, nimewahi ishi.

Ni namna tu mtu unavyojiweka. Naamini hakuna sehemu yoyote nchi hii naweza shindwa kuishi eti kwa sababu nashindwana na wenyeji wangu.

Nakupa hii ambayo najua hujawahi kuipata popote:

Kuna sehemu niliishi huko uhayani, mtu unaruhusiwa kuingia shamba lolote hata usipojua ni la nani na kuchuma mihogo, ndizi mbivu, matunda nk na kukaa kula hadi utosheke ila usibebe tu, ukibeba unaonekana ndipo utakapotafsiriwa kuwa ni mwizi.

Hilo ni moja tu kati ya mengi niliyoyakuta kwenye jamii ile
 
Serikali ianzishe programu maalumu ya kuichangamsha Kagera. Njia mojawapo ni kupima maeneo na kumilikisha makabila mengine. Iki-infiltrate angalau wageni elfu 5 kila wilaya itasaida sana kupunguza ukabila, kukuza Kiswahili, na kuchochea maendeleo - biashara, elimu, n.k.
 
Mkuu upo sahihi kwa kiasi kikubwa, kuhusu majivuno kwa hao ndugu zetu ni kawaida kabisa ndivyo walivyo na kwao hali hio wanaichukulia kawaida kbsaa.
Pia upande wamaendeleo haitokuja itokee bukoba ipanuke kuzidi ilivyo Sasa πŸ˜€, nilisoma ihungo secondary miaka kadha iliyo pita lkn nilivorudi bukoba Tena hali nilikuta Ile Ile. Kuna jengo la ghorofa lipo pembeni ya uwanja wa kaitaba tokea 2009 liko vile vile Hadi Leo.
Kingine wahaya ni omba omba wazuri Sanaa pia ni wabinafsi. Mimi piaa sitamani kuishii hko kbsaa.
Hadi kanisani Wana Sala zao za kihaya.
 
Shukrani mkuu na kwangu hakujibu nilichoandika kwa sababu ameona uhalisia. Mkoa wa dodoma aliotoka na mimi ulinitreat vibaya kama mwanafunzi Ila sijawahi kuita watu wa dodoma mashetani

Naamoni amejifunza

At least wewe ulibaguliwa shule nyumbani ukawa treated vizuri, Mimi home shule kote walinitreat vibaya. Sijasema wabadilishe ili waniaccomodate hapana, lakini Sasa wakimtreat mtu vibaya wanafaidika na nini surely?Wacha wawe hivyo nilivyowaita. Because they treated me badly. Wewe unasema walikutreat vibaya , unashangaa Mimi kuwakasirikia, so uko happy with how they did to you? Kila mtu ashikilie la kwake Kwa kweli.
 

Mdau Una wazo zuri mno ila nadhani wageni watakimbia baada ya muda.
 
Huna unalojua kiazi wewe maana hata elimu uliyopata hapo Ihungo haijakusaidia kwa lolote na zaidi ni hujawahi kusoma hapo kwa maana wanaosoma hapo wana IQ kubwa ya utambuzi.

Eti "kwa upande wa maendeleo haitokuja itokee bukoba ipanuke kuliko ilivyo sasa" unajielewa kweli na ulichokiandika? Labda nikuulize maendeleo ni nini na ulitaka uone nini? Kwahiyo wewe ni miongoni mwa wanaoshiriki kudidimiza hilo ili liendelee kubaki kama miaka ya nyuma. Pole kiazi wewe.

Hilo jengo la ghorofa unaliliongelea unajua linamilikiwa na nani na kwanini lipo vile au unaropoka tu ukitaka kuonesha nawe unafahamu chochote?

Eti wana sala zao za kihaya, yes zipo na mpaka biblia ya kihaya ipo kwani ulitaka wawe na sala za kingoni, kimwera au kihadzabe wakati wana lugha yao. Acha husda lipa madeni yako ili uache kuona watu ni wabinafsi wakati huwezi kutaja hata kwenu ni wapi kilaza wewe.

Wenyewe wako busy na maisha yao lakini kina nyie ndiyo kila siku mnahangaika nao mkitegemea watajipendekeza kwenu kama mlivyozoea kwenye maeneo mengine.
 
Nilienda kwa fundi viatu hapo Bk town, akanambia amesoma diploma ya shoeshiner Kampala na akasema hua anahudumia viongozi na matajiri, niliishia kucheka tu
Ahahahahahahaha Hawa watu aisee Wana sifa kama nn,Kuna mmoja Dodoma ni fundi nguo anajsifiq yeye Huwa anashonea nguo viongoz na wabunge ,kama ni mtu wa kawaida hawez Bei zake ,,na pili anasema Hana njaa ya ela .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…