Kagera (Bukoba) mahali pa ovyo kuwahi kutembelea

Utafiti umetulia uko vizuri mno
 
Ungeandika bila kuweka chuki na ukachambua kitaalamu ungeeleweka Sana .


Huyo jamaa anajiita KIMODOI anafanya Kazi kubwa Sana na sio mtu wa kubezwa hata kidogo.
 
Kwa Wairaq nakubaliana na wewe asilimia mia.......

Hapa nilipo tunapika msosi wote tunaishi as family kasoro kila mtu chumba chake

Kwenye kilugha ni masaa 24hrs......

Mpk wananiuliza mbona huelew tuu kii iraqw lkn hawaongei kiswahili......

Mwanzoni nilijua wananisema ko nikawa napata shida so nikasema nisemwe nisisemwe i don't care....
 
WaIraqw ni kwikwi na jinsi wanavyopenda kesi ndiyo balaa
 
Ila wahaya kwa ujumla wake mm nawakubali Ila kwenye uchoyo, roho mbaya kidogo aseeh hili nimelisikia sana kwa watu...... Japo nilikuwa na jamaangu mhaya lakini alikuwa mid haonyeshi sana maybe kwakuwa tulikuwa tunasaidiana hivyo

Majigambo ndo wenyewe Ila alikutana na katibu wa majigambo aseeh....... Ukija ndivyo navokupokea!

Ukija kiupole tunaenda kiupole......

Ila yote Mimi sijawahi shindwa ishi na mhaya maybe damu zisiendane tuu..
 
Niliishi Bukoba mwaka 2008 kwa miezi sita ila hasa Kanyigo.Asemayo mleta mada sioni cha kumkosoa.Nyongeza ni uchu wa madaraka.Ukiwa incharge deputy wako kama ni Mhaya ishi naye anonymously(muone kama rafiki yako kwa nje ila ndani kuwa makini).Mambo ya nepotism kama atakuwa incharge yaone kawaida.
 
Pole sana ndugu.
Wahaya badilikeni, namuomba mungu nisifike huko, maana umeongea kwa uchungu sana.
 
No. 14 Yani sijui nani kawaloga Hawa ila WANASHIKILIA Mabango ujinga ujinga tu
 
Ungeandika bila kuweka chuki na ukachambua kitaalamu ungeeleweka Sana .


Huyo jamaa anajiita KIMODOI anafanya Kazi kubwa Sana na sio mtu wa kubezwa hata kidogo.
Bila kukuvunjia heshima na bila kumpa mileage kama unaona hivyo basi BUKOBA mna safari ndefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…