Kagera: Rais Magufuli kuzindua Shule ya Sekondari Ihungo iliyokarabatiwa kwa Tshs Billioni 10.9

Kuzindua shule yenye miaka zaidi ya 40. Kwamba waliojenga hawakuzindua au?
 
Ukisoma comments za watu humu utajua kuwa msongo wa mawazo ni tatizo kubwa hapa nchini.
 
Hebu tuonyeshe ilivyokuaga baada ya tetemeko
 
Mbona sielewi sasa inazinduliwa nini na ilikuwepo tangu kitambo eh
 
Sijaona billio 10 apo hata 3 hazizidi. Nimefika hapo physically.
 
Ndiyo huko Mkuu, zaidi ya 20 billions zilikusanywa ila wahuni hawa wakadai zilikusanywa bilioni 5 tu.
Huko si ndiko michango ililiwa? wapinzani walitembelea majengo na kutoa misaada ikawa balaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…