Kagera: Rais Magufuli kuzindua Shule ya Sekondari Ihungo iliyokarabatiwa kwa Tshs Billioni 10.9

Kagera: Rais Magufuli kuzindua Shule ya Sekondari Ihungo iliyokarabatiwa kwa Tshs Billioni 10.9

1610975611731.png

1610975631032.png

1610975655461.png

1610975688275.png


Ihungo Secondary School, ZAMANI!
 
Ukisoma comments za watu humu utajua kuwa msongo wa mawazo ni tatizo kubwa hapa nchini.
 
Shule ya Sekondari ya wavulana Ihungo iliyoko mjini Bukoba inayotarajiwa kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 18 Januari, 2020.

Shule hiyo imefanyiwa ukarabati uliogharimu shilingi Bilioni 10.9 baada ya kuharibika kufuatia tetemeko la ardhi lililotokea mjini Bukoba tarehe 10 Septemba, 2016.View attachment 1679902View attachment 1679903View attachment 1679904View attachment 1679905View attachment 1679906View attachment 1679907View attachment 1679908View attachment 1679909View attachment 1679910View attachment 1679911View attachment 1679912View attachment 1679913View attachment 1679914View attachment 1679915
Hebu tuonyeshe ilivyokuaga baada ya tetemeko
 
Mbona sielewi sasa inazinduliwa nini na ilikuwepo tangu kitambo eh
 
Sijaona billio 10 apo hata 3 hazizidi. Nimefika hapo physically.
 
Ndiyo huko Mkuu, zaidi ya 20 billions zilikusanywa ila wahuni hawa wakadai zilikusanywa bilioni 5 tu.
Huko si ndiko michango ililiwa? wapinzani walitembelea majengo na kutoa misaada ikawa balaa?
 
Back
Top Bottom