Hii team na bench la ufundi woote wanatakiwa wauzwe waletwe wapya
 
Nishasemaga mara kibao, mpira wa counter attack bado haujapatiwa ufumbuzi pale msimbazi

Huu mpira ulikotoka ulikuwa kwenye eneo la kagera lakini shuti la mbali kuondoa mpira kwenye lango lao ndio uliokuja kusababisha goli baada ya asilimia 90 ya wachezaji wa simba kupanda juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…