Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ni mentality za kimasikini.Mbona unalia sasa mkuu?
Lazima watapasuanaKama mechi hii ikiisha kwa draw au mnyama kupigwa,kuna tukio litatokea pale kariakoo
Wee ukimtoa Muzamiru hapo ndio tunafungwa Sasa sababu mkabaji atabaki mmoja tu Kanoute hali itakuwa mbaya katikati hapo atoke either Bwalya au MorrisonKocha wa simba akitaka game iwe nyepesi apunguze kiungo mmoja aingize mshambuliaji.Nampendekeza atoke mzamiru aingie kagere.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
kwanza mm nilitegemea kipindi tu kinaanza kuna sub jamaa anachelewaga sana kufanya subKocha wa simba akitaka game iwe nyepesi apunguze kiungo mmoja aingize mshambuliaji.Nampendekeza atoke mzamiru aingie kagere.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Matusi ndio tabia zao makolo. Ndio maana nyuzi zao zinakimbiwa,ksbb wanajua zaidi matusi. Hawajiulizi kwa nini manara baadaa ya kwenda Yanga hana matusi tenaMatusi hayasaidii Mkuu, hakuna mchezaji hapo sishangai ndiyo maana Morocco wamemtema
Haya Hamisi Kiiza Diego ndio huyo Sasa anaingia atatuua huyu tusipo kuwa makini
Yupo ndo huyo hapo sasaHuyu mtu bado anacheza mpira??