Kagera Sugar 1 - 0 Simba SC | Ligi kuu bara | Kaitaba
Au ni bocvo kavaa jezi ya kapombe ila kutokana na ubize wa ball hatujasanuka?
 
Ona wachezaji wanavyo devera halafu timu ikipata matokeo mabaya lawama ziende kwa kocha

Na ndio maana nasema kuna mashabiki wasio jielewa humu ndani, hivi kwa umazafaka wanaofakisha kina muzamiru na kapombe utampa kocha lawama kwa kipi?
Na hao ni wachezaji wa timu ya taifa.bado tuna safari ndefu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Watu misiokuwa watetezi wa ubingwa kwa zaidi ya miaka minne mnawezaje kuzungumzia haya?

Haya maneno nyinyi mnatakiwa muongee baada ya LIGI kuisha na wakati huo muwe na kombe, au kombe tayari mshachukua na sisi hatujui?[emoji28]

Chukueni kwaza kombe ili muonyeshe utofauti, maana kama ni meneno yenu tunayasikia kwa misimu minne.
Mbona unalia sasa mkuu?
 
Kama Simba itaendelea kucheza bila mshambuliaji wa Kati itawawia vigumu kupata matokeo labda itokee penati. Kwa uwanja ulivyo na saizi ndogo na hakuna movement za kutosha na temple ya game iko chini yaani apo Kagera Wana enjoy kwelikweli.
 
Naye mzamiru anafanya flexing kwenye moment ambayo nje kuna watu wameweka pesa zao walitegemea chance kama zile ziwaingizie mpunga maradufu afu ye anataka magoli ya kideo
 
Naomba tuelewane kidogo kuna mashabiki ambao wao hata team afanye vibaya vipi na kuwe na mapungufu huwa hapendi kuyasikia na kuyazungumzia ila kuna mashabiki ambao team kama kuna vitu haviko sawa atasema na kutaka vibadilike na sio wote wanaosema madhaifu ya team basi ni adui hapana inatakiwa ujiulize kinachosemwa ni kweli au porojo??

Yaan ni sawa na ile mtu kapenda manzi yaan hata umwambie nini kuhusu huyo manzi hakuelewi kabisa anakuona wewe mchawi tu.
 
Ule mto wa kagera aliokuwa anautumia iddi amin ku dump wajinga wajinga hivi bado upo

Maana naona wachezaji wanajisahau sana inabidi ipatikane suluhu ya kutatua hili tatizo wajue watu tupo swrious maana tunaona ushauri umeshindikana
 
Ile ya Mzamiru au Bwalya kweli hizo mbili Kagere akukose hata moja dah
 
Back
Top Bottom