Kagera Sugar 1 - 0 Simba SC | Ligi kuu bara | Kaitaba
Kocha anazingua amuingize kagere na chama fasta
Pumbavu,chama hayumo??

Nisamehe tu mkuu nina hasira kichizi Hadi kwikwi!!!

Wchezaji wan..wannnaa..wanadevv..devera tu!! Hawaju.."hig"..jui.."hig"..hawajui kama "hig" Kama tunaoteseka "hig" teseka ni sisi "hig" washa "hig" shabiki!!
 
Kama Simba itaendelea kucheza bila mshambuliaji wa Kati itawawia vigumu kupata matokeo labda itokee penati. Kwa uwanja ulivyo na saizi ndogo na hakuna movement za kutosha na temple ya game iko chini yaani apo Kagera Wana enjoy kwelikweli.
Kwa nini TFF waruhusu kutumia uwanja mdogo
 
Ona wachezaji wanavyo devera halafu timu ikipata matokeo mabaya lawama ziende kwa kocha

Na ndio maana nasema kuna mashabiki wasio jielewa humu ndani, hivi kwa umazafaka wanaofakisha kina muzamiru na kapombe utampa kocha lawama kwa kipi?
Basi wewe ndio ujielewi ndugu.
Kocha anapata lawama sababu yeye ndie anaefanya selection ya wachezaji. Kitendo cha kumpanga mchezaji anaeshindwa kuleta ufanisi kocha huwezi kukwepa lawama.
 
Pumbavu,chama hayumo??

Nisamehe tu mkuu nina hasira kichizi Hadi kwikwi!!!

Wchezaji wan..wannnaa..wanadevv..devera tu!! Hawaju.."hig"..jui.."hig"..hawajui kama "hig" Kama tunaoteseka "hig" teseka ni sisi "hig" washa "hig" shabiki!!
Dah umeumia sana mkuu
 
dakika 15 hizi za mwanzo linatakiwa goli hapo maana pumzi mnayo ya kutosha yaan hapo ni press press hadi wajichanganye
 
Morrison kuna mipira mingine hutumii nguvu kama unagonga kokoto mzee
 
Kapombe anastahili tusi kubwa sana
Kapombe anaboa,kiwango kimeisha mno
Angalia mpira aliokosa Mzamiru ,Ile cross ya chini ya morison
Naye mzamiru anafanya flexing kwenye moment ambayo nje kuna watu wameweka pesa zao walitegemea chance kama zile ziwaingizie mpunga maradufu afu ye anataka magoli ya kideo
Dah! Naona jumba bovu linawaelekea Kapombe na Mzamiru! Hii ni baada ya mwalimu kuwaacha nje washambuliaji wake wote tegemeo kutokana na lawama kama hizi.

Mashabiki wa simba muwe wavumilivu. Wapeni nafasi wachezaji wenu. Timu yenu inapitia kipindi cha mpito baada ya mafanikio ya mudaa mrefu. Miaka 4 mfululizo, si haba!
 
Back
Top Bottom