K11
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 3,447
- 11,274
Yaani tunaumia sisi mashabiki huku wachezaji wakifurahia mpunga. Baadae utasikia viongozi wanatuhadaa na kutudanganya kwa maneno ya kipuuzi ya kusingizia viwanja vibovu, referees, TFF na GSM, wakati tunaona kinachofanyika uwanjani ni utoto mtupu unaofanywa na Simba.Nilichokuja gundua ni kwamba hawa wachezaji ambao wanalipwa kufanya hiyo kazi ya kuwapatia matokeo mashabiki wala hawaumii kama wanavyoumia mashabiki ambao hata kumi hawalipwi haiwezekan game ambayo mnahitaji matokeo mnacheza show show halafu dakika za mwisho ndiyo wanajifanya wanaharaka