Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu misiokuwa watetezi wa ubingwa kwa zaidi ya miaka minne mnawezaje kuzungumzia haya?Kwa jinsi Simba tunavyocheza ni kujitoa ufahamu kuamini kuwa bingwa msimu huu ni Simba. Timu inachechea mpira muda mwingi kuliko kupambana kiume kutafuta matokeo kwa kulazimisha. Akina Bwalya na wenzake wanachezea nafasi huku wakichelewesha mipira kitu kinachopelekea timu pinzani kujipanga kikamilifu kuziba nafasi. Mwisho wa siku tunailamu TFF na GSM wakati timu inacheza kitoto muda mwingi. Tukiendelea hivi hata nafasi ya pili tutaipata kwa mbinde
DaaahShomari Kapombe naye daah mabao matatu ya wazi tumekosa
kabisaBora Ndemla arudishe kikosini kuliko huyu Mzamiru
Aliyezingua zaidi ni Mzamiru.Sijui alikuwa anawaza nini kapoga nje daah
Mechi ya Kagere ,kocha naye muoga wa kufungwa kajaza viungo kibao.NBC Premier League leo kwa mechi moja ya kiporo. Ni Kagera Sugar watakuwa uwanja wa nyumbani kuwaalika mabingwa watetezi Simba SC.
Je, ni Kagera ama Simba SC nani kukila kiporo hiki?
Mechi hi itaruka mubashara Hapa Hapa JF
UPDATE
Mpira Umeshaanza hapa Dimba La Kaitaba.
17” Kagera Sugar 0 Simba Sc 0
20” Kagera Sugar 0 Simba Sc 0
25” Kagera Sugar 0 Simba Sc 0
32” Kagera Sugar 0 Simba Sc 0
Kabisa hawajui kama kombe linaenda jangwaniWatu misiokuwa watetezi wa ubingwa kwa zaidi ya miaka minne mnawezaje kuzungumzia haya?
Haya maneno nyinyi mnatakiwa muongee baada ya LIGI kuisha na wakati huo muwe na kombe, au kombe tayari mshachukua na sisi hatujui?[emoji28]
Chukueni kwaza kombe ili muonyeshe utofauti, maana kama ni meneno yenu tunayasikia kwa misimu minne.
Umepigwa wewe na nani??Huyu Chama naona Safari hii tumepigwa