Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo amechelewa kwelileo ulikua wapi mkuu mbona umechelewa kushusha uzi wa apdate?
Hadi ameandika maandishi machacheLeo amechelewa kweli
Perhaps alikuwa busy .
Uliowataja naona waachwe tuu.Hatuna recognized #9 - Bocco, Kagere & Mgalu wote kwishney
Ooh kweliHadi ameandika maandishi machache
[emoji120][emoji120]Ooh kweli
Ngoja tuone leo matokeo yatakuwaje
Mungu ibariki Simba Fc .
Kua na amani,tena kama ni mtu wa kubeti weka hela yako ya kulipa kodi ya nyumba,pesa ya bili ya maji,luku,changanya na ada ya mtoto shule.Ngoja tuone naangalia mechi huku sina amani
Tikipigwa au kutoa droo kwenye huu uwanja nitaamini kuwa Timu yangu ni mbovu msimu huu.uwanja upo vizur kabisa no problem leo
Ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaKua na amani,tena kama ni mtu wa kubeti weka hela yako ya kulipa kodi ya nyumba,pesa ya bili ya maji,luku,changanya na ada ya mtoto shule.
kisha agiza Mo Cola usubiri dk 90 ziishe uvune mi Dangote yako.
Habari ndiyo hiyo leo hakuna kisingizio cha uwanja boli linatereza tu na kutambaa kama nyokaTikipigwa au kutoa droo kwenye huu uwanja nitaamini kuwa Timu yangu ni mbovu msimu huu.