Kagera Sugar 1 - 0 Simba SC | Ligi kuu bara | Kaitaba
Ule mto wa kagera aliokuwa anautumia iddi amin ku dump wajinga wajinga hivi bado upo

Maana naona wachezaji wanajisahau sana inabidi ipatikane suluhu ya kutatua hili tatizo wajue watu tupo swrious maana tunaona ushauri umeshindikana
Haahahha, tatizo ni GSM
 
Kwa mipango ya Yanga pamoja na uwekezaji madhubuti na umoja wa wanachama.

Ile miaka mitano ambayo simba alikaa bila kikombe(2011/12 mpaka 2017/18) inaweza kujirudia tena endapo wasipofata strategies za mpira.

Siku hizi mpira ni science na sio porojo kama walivyoamua kuziwekeza.

Kwa yanga hii kuhusu kukosa ubingwa niulizwe mimi..
 
Back
Top Bottom