Halafu ifikie wakati Bodi ya Ligi na baba yao TFF wawe wakali kidogo. Kitendo cha kugoma kutoa tathmini baada ya mchezo, ni utovu wa adabu kwa wadhamini na wanafamilia wote wa mpira wa miguu.Nauliza benchi la ufundi jana walihojiwa baada ya mchezo au kama kawaida yao siku hizi?
Dah yote maisha tu, ni mapito tu haya hakika hayatadumu milele.
tunaganga yajayo sasa
SIMBA NGUVU MOJA
Hii video ni ya kutengenezwa tu, Simba Kampuni haiwezi kufungwa na timu ndogo kama Kagera Sugar! Msitukatishe tamaa kwa video za kupikwa vichochoroni.NBC Premier League leo kwa mechi moja ya kiporo. Ni Kagera Sugar watakuwa uwanja wa nyumbani kuwaalika mabingwa watetezi Simba SC.
Je, ni Kagera ama Simba SC nani kukila kiporo hiki?
Mechi hi itaruka mubashara Hapa Hapa JF
UPDATE
Mpira Umeshaanza hapa Dimba La Kaitaba.
17β Kagera Sugar 0 Simba Sc 0
20β Kagera Sugar 0 Simba Sc 0
25β Kagera Sugar 0 Simba Sc 0
32β Kagera Sugar 0 Simba Sc 0
40β Kagera Sugar 0 Simba Sc 0
45β Kagera Sugar 0 Simba Sc 0
HALF TIME 0 0
Kipindi cha Pili kimeanza
50β Kagera Sugar 0 Simba Sc 0
55β Kagera Sugar 0 Simba Sc 0
60β Kagera Sugar 0 Simba Sc 0
68β Kagera Sugar 0 Simba Sc 0
70β KAGERA 1 SC 0
Simba Wanafanya Mabadiriko
77β Yusuph Mhilu na Bocco Wanaingia
82β Kagera Sugar 1 Simba Sc 0
FT KAGERA SUGAR 1 SIMBA SC 0
VIDEO: GOLI PEKEE LA USHINDI KAGERA SUGAR
View attachment 2097107
Hahah Umenichekesha Mkuu, hapana Mimi MwananchiHivi boss wangu na wewe ni mmoja wa tunaolala na viatu ama? [emoji1787][emoji1787]
Ooh. Afadhali. π€£Hahah Umenichekesha Mkuu, hapana Mimi Mwananchi