joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Weweeeeee katoka Madrid huyo.Simba fukuza Kocha hanaishu kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weweeeeee katoka Madrid huyo.Simba fukuza Kocha hanaishu kabisa
tushakufa ndani kwa ndaninaona Simba wanataka tufe kwa stress huu mwaka
Wewe kama mimi, niko kwenye mishe zangu za kusaka ugali nashangaa shangwe kutoka banda umiza nikajua mnyama kaua kumbe mnyama anabakwa na wahaya.Nipo home nasikia banda umiza huko wanashangilia kinyama...dah
Hata mimi sasa huyo jamaa bocco anaingia kufanya nn anafikiri ni mazoez hayaNimemuona bocco nje kavaa jezi, sijajua kavaa kama shabiki kuangalia mpira au kama mchezaji anayesubiria kuingia
Akiingia tu nasepa