Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Anaogopa kivuli chakeWewe unavyohisi amemugopa nani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaogopa kivuli chakeWewe unavyohisi amemugopa nani!
Apana alikuwa ni msukumaAnasamehe bila sababu kweli!
Magufuli mzugaji tu. Hana nia halisi ya kumaliza ufisadi.
Ukielewa hili, litajibu maswali mengi sana.
Ukiyajua yafanyikayo Chato ambayo wenzake yameyameza kooni, utajua anamuogopa nani.Anaogopa kivuli chake
Kati ya Chato na ATCL Magufuli anawapiga sana watu hela za serikali.Na Chato kuna siri kubwa ya upigaji mchafu wa fedha za serikali.
Sasa hivi tunamjua mkuu wetu anavyofikiri.mkurugenzi ana bahati sana. angekuwa anatokea kanda ya nizikaska angetumbuliwa bila huruma.
cc masopakyindi