Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Bajeti ya serikali= Mapato ya ndani + Mikopo + fadhilaMkuu unataka tena tuanze kutafuta dikshenari za wizara ya fedha?
Kama unaona vipo sawa kitoe kimojawapo, hiyo equation itaendelea kubaki sahihi...
Ngoja nikurahisishie...
Bajeti ya serikali = Mapato ya ndani + Fedha za wahisani
Kahama kumekucha aise, Hongera Sana Mhe Rais kwa hiliView attachment 2045659
===
Kwanza,Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zaidi ya TZS 12.6BL kujenga kilometa 12.6 za Lami kuzunguka eneo la Viwanda la UMMY MWALIMU Yaani "Ummy Mwalimu Investment Centre "ikiwa ni pamoja na mitaro na taa za barabarani,
Pili,Rais Samia Suluhu Hassan atajenga Stand ya kisasa kwenye eneo hili la uwekezaji pamoja na soko la kisasa ambalo litabeba wamachinga wote wakiwemo Mamalishe,
Tatu,Rais Samia pia anajenga Stand kuu ya mabasi ya Mbulu,mtakumbuka Kahama inatoa mabasi zaidi ya 100 ya mikoani kwa siku hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan,
Nne, Rais anajenga pia Soko la Sango litakalochukua wajasiriamali zaidi ya 1,200 kwa mkupuo,
Tano,Sihivyo tu,Rais Samia Suluhu Hassan pia ametoa TZS 10.5BL kwaajili ya Ujenzi wa barabara za Mjini Km 10.5 pamoja na mitaro na Taa za Barabarani .
Hivi vidudu Chawa na viroboto akili zao hazina akili. Kabisa kabisa..Waulize chawa wenzako wa kipindi Cha Magu Wana Hali gani sasa hivi.
Makusanyo ya kodi za manispaa,shuru wa mashine za malunga na kagongwa kwa siku inazidi 15m.kwa siku malori zinatoka lori zaidi ya 15 zenye mchele ambapo lori moja ushuru ni 420,000sh.
Bado fuso zenye kubeba mchele wa kwenda mikoani nazo kwa siku zinaweza kutoka 10..nimewekaza kahama kwahiyo kwenye mazao kwahiyo najua mzunguko ulivy
Niwewe tuUpumbavu na ujinga wa wananchi ndio mitaji ya Wanasiasa.. Shame on ccm.
Huo ndio ujinga wako sasa kila kitu we unatazama kichamachama angalia kwa mapana " broader picture" usiwe mjinga mi naongea kama mlipa kodi. Tuna watu wa ajabu na hovyo sana ndio maana tunapiga maktime tu hapa.Kwanini usiutumie ubunifu wako kuisaidia CHADOMO
Daaah CHADOMOWamejenga wakandarasi, acha USENG3
Wananchi tunamuunga mkono,Rais wetu asilimia [emoji817],Taarifa nzuri sana hii.View attachment 2045659
===
Kwanza,Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zaidi ya TZS 12.6BL kujenga kilometa 12.6 za Lami kuzunguka eneo la Viwanda la UMMY MWALIMU Yaani "Ummy Mwalimu Investment Centre "ikiwa ni pamoja na mitaro na taa za barabarani,
Pili,Rais Samia Suluhu Hassan atajenga Stand ya kisasa kwenye eneo hili la uwekezaji pamoja na soko la kisasa ambalo litabeba wamachinga wote wakiwemo Mamalishe,
Tatu,Rais Samia pia anajenga Stand kuu ya mabasi ya Mbulu,mtakumbuka Kahama inatoa mabasi zaidi ya 100 ya mikoani kwa siku hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan,
Nne, Rais anajenga pia Soko la Sango litakalochukua wajasiriamali zaidi ya 1,200 kwa mkupuo,
Tano,Sihivyo tu,Rais Samia Suluhu Hassan pia ametoa TZS 10.5BL kwaajili ya Ujenzi wa barabara za Mjini Km 10.5 pamoja na mitaro na Taa za Barabarani .
baada ufurahie maendeleo ya taifa , upo busy kweny kamati ya roho mbaya kuhakikikisha unawaroga usiowapenda [emoji23]Waulize chawa wenzako wa kipindi Cha Magu Wana Hali gani sasa hivi.
Mjibu mwenzio kwa hoja , hili siyo jukwaa la watotoKwanini usiutumie ubunifu wako kuisaidia CHADOMO
Chuki visasi vinatuua waafrika , ndio maana hatuendeleiWamebaki Kama nzi waliofia kwenye kidonda kibichi
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Yote ilikuwa kwenye mipango ya Magufuri , na alikuwa ameanza na sehemu nyingine mf Korogwe , Singida , Dar , Msamvu - Moro , Dodoma , Kigoma , Na Mwanza + Geita + Moshi + ambayo zilikiwa on progress pia , ili akija kujenga kahama wale wapuuz wa ukabila wasipate hoja so hatujaona ubunifu wa Mama , afanye kile alichoshindwa Magu mf kuruhusu mzunguko wa ela mtaani , kuto ajira ( sio kutangaza maana hata Magu alikuwa anatangaza ) , kuruhusu siasa ya usawa ( demokrasia )Khaaaa,
Ila Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,
Rais Samia anafanya mambo makubwa sana lazima tukubali,
Stendi ya Kahama ilikwama muda mrefu sana,
#MAMA CHAPA KAZI TUKO NA WEWE
Hakuna fadhila dunian vile viongoz wetu hawataki kuweka wazi namna ya malipo ya hiyo misaada , yaan sio lazima ulipie cash ila unaeza kulip kwa kuweka mazingira sawa kwenye nchi yako kwa maslai ya mabeberuBajeti ya serikali= Mapato ya ndani + Mikopo + fadhila
Hiyo stand inayotoa mabasi 100 ni ipi,acha kupiga debe za uwongo...kahama wanajenga kwa pesa za manispaa yao sio pesa ya samia,bladif
Kwa viwango vya delivery, sidhani kama kuna Rais anaweza mfikia Samia so far .Wakati watu wanalia kupanda Kwa gharama za maisha lakini matokeo chanya yanaonekana.View attachment 2045659
===
Kwanza,Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zaidi ya TZS 12.6BL kujenga kilometa 12.6 za Lami kuzunguka eneo la Viwanda la UMMY MWALIMU Yaani "Ummy Mwalimu Investment Centre "ikiwa ni pamoja na mitaro na taa za barabarani,
Pili,Rais Samia Suluhu Hassan atajenga Stand ya kisasa kwenye eneo hili la uwekezaji pamoja na soko la kisasa ambalo litabeba wamachinga wote wakiwemo Mamalishe,
Tatu,Rais Samia pia anajenga Stand kuu ya mabasi ya Mbulu,mtakumbuka Kahama inatoa mabasi zaidi ya 100 ya mikoani kwa siku hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan,
Nne, Rais anajenga pia Soko la Sango litakalochukua wajasiriamali zaidi ya 1,200 kwa mkupuo,
Tano,Sihivyo tu,Rais Samia Suluhu Hassan pia ametoa TZS 10.5BL kwaajili ya Ujenzi wa barabara za Mjini Km 10.5 pamoja na mitaro na Taa za Barabarani .
Vizuri sana, at least kahama sasa itakua KAHAMAView attachment 2045659

Kwa pesa yao sio? Anaetoa maelekezo ya kwamba 60% ibakie kwa ajili ya maendeleo ni nani kama sio serikali?Hiyo stand inayotoa mabasi 100 ni ipi,acha kupiga debe za uwongo...kahama wanajenga kwa pesa za manispaa yao sio pesa ya samia,bladifakeni
Na bado ana miezi 8 tu,, huyu mama atafanya maajabuKwa viwango vya delivery, sidhani kama kuna Rais anaweza mfikia Samia so far .Wakati watu wanalia kupanda Kwa gharama za maisha lakini matokeo chanya yanaonekana.
Huku niliko barabara zinajengwa kila mahali kama hivi [emoji116]
View attachment 2046270
View attachment 2046272
View attachment 2046273
View attachment 2046276
View attachment 2046278