Kahama: Rais Samia amwaga miradi

Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
Mama anatisha sana
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
acheni upofu, milele? ina maana tz hakuna kichwa kingine kinachoweza kuongoza, karibu kenya
 
Hizi takwimu umezitoa wapi?!
 
Kaziiendelee
 
Mmeanza tena 🤣🤣🤣!! Atawale milele yaan nyinyi

 


Naona mambo ya kutawala milele yako zaidi kanda ya ziwa😂
 
Huu msemo wa "Rais XX au Rais XY ametoa kiasi fulani cha pesa kwa ajili ya kazi fulani ya maendeleo HUWA SIYO SAHIHI!!!!! Rais HATOI HIZO PESA MFUKONI MWAKE!!!! Hizo pesa SIYO za kwake BINAFSI!!!! NI pesa za SERIKALI!!! NI pesa za WANANCHI WALIPA KODI!!! Ni pesa ZETU!!!! ACHENI UTAAHIRA wa kuona ni kama mnapewa favour. Ni jukumu la serikali kuleta maendeleo kwa wananchi walipa kodi.
 
Huyu ndo mtu mweusi ninayemjua mi
Siku zote huangalia njaa yake tu, kwa sababu hiyo huweza kumsifia yeyote mwenye nafasi ili apate uhakika wa kula
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Safi
 
Ukiwa ccm uwezo wa kufikiri unakuwa chini sana, sijui kwa nn wanazuoni wasifanye utafiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…