TANZIA Kahama: Watu 19 wafariki dunia kwenye ajali inayohusisha trekta, hiace na lorry!

Hii ni Mara ya pili eneo la ajali kusababisha ajali sijui why huwa hawaweki Viashairia hata watu wa vibendera Umbali mrefu toka sehemu ya ajali kuwa alert madereva wanaokuja kuwa kuna tukio[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Matrafiki wamerudi Ofisini kupokea mishara ya buree kisa Kinana kasemaa yani ovyooo kabisaaa...!!
 
Uliyepiga picha hii huenda nawe utatafutwa ukamatwe.
 
So sad,hii ajari imesababisha kifo cha mdogo wangu kwenye hiyo IST,laiti ningemkamata dereva wa hilo trekta,ningemtatua malinda bila kalainishi.
Ndo ingemrudisha?

Punguzeni Speed kama hamna Taa kali
 
Wabongo tunakufa kindezi sana

Siku zote usalama wako unaanzia na wewe

Mwenyewe....

Kwanza tractor zingepigwa maarufuku kutembea usiku
Maana nyingi hazina taa
Wanaziendesha kwa mazoea tu

Ova
Sio nyingi, zote hazina...

Pita barabara ya Iringa Mbeya utakutana na Power Tiller nyingi kuliko kawaida na hazina Taa, zinakata muda wowote ule
 
Hivi hizi gari zinaendeshwaje, inawezekana vipi dereva huwezi kuona hata mita mia mbili na kufikia hatua ya kuparamia chochote kilichopo barabarani. Nafikiri sifa za kijinga za madereva kujiona mamwamba wa kuendesha magari kwa spidi kali ndo zinamaliza zaidi watu.
 
Tendelee kufata ushauri wa kinana traffic wapunguzwe
 
Hizi ajali pasipo madereva wenyewe kuacha kuendesha kwa mwendo kasi haziwezi kwisha, hatuwezi kutegemea askari wa usalama barabarani kila siku waokoe maisha yetu kama abiria ndani ya mabasi hatuwaambii madereva ukweli wapunguze mwendo.
Askudanganye mtu,maaskari ndo msaada sana,achen kuhusisha Mambo ya siasa kweny uhai wa watu
 
Matrafiki waliojifanya wanazuia ajali hawajui kuwa mtractor yote nchi hayana taa!!
 
Acha papara kijana hakuna cha ajabu nilichoandika hapo, ni uelewa wako mdogo tu.

Chanzo cha yote ni trekta kutokua na hizo taa na ndicho nilichoongelewa.

Hazina sio hazard, kajifunze alama za uandishi utaelewa ni kwanini hiyo hazina nimeiweka kwenye mabano.

Mwisho kabisa, nakuonya kutoihusisha pombe na kitu chochote kibaya sawa kijana.
 
Natoa pole kwa wafiwa na kwa majeruhi. winston20 , hao majeruhi 15 walikuwa kwenye chombo kipi? Kwa sababu kwa mujibu wa taarifa yako, marehemu watatu (3) wamefia kwenye IST, marehemu kumi na sita (16) wamefia kwenye hio Nissan Caravan unayoita Hiace! Hao 15 walikuwa kwenye trekta ama hilo lori Howo?
 
Hayo matrekta miaka yote yapo njiani hayana taa, huwa hawayaoni!!?
Trekta lisilo na taa na magari mabovu yote huwa yanavizia barabara ikiwa haina traffic ndo wanapita ila tujaribu kufata amri ya kinana traffic waondolewe barabarani huwenda ikawa njia sahihi ya kupunguza ajali madereva tutajisimamia wenyewe
 
ila tujaribu kufata amri ya kinana traffic waondolewe barabarani huwenda ikawa njia sahihi ya kupunguza ajali madereva tutajisimamia wenyewe
Nimependa closure statement yako
 
Sio Mwakata hapo?
 
Madareva wengi ni wendawazimu tu

Ova
 
Trekta lisilo na taa na magari mabovu yote huwa yanavizia barabara ikiwa haina traffic
Mkuu asilimia kubwa ya tractor zipo barabarani mchana, wao wanaziona tunapishana nazo, hiece nyingi pia hazina taa na usiku ziko njiani na wao wana magari ya patrol mengi tu, je usiku huo wanakuwa nayo wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…