Ili chakavu haswaa trip shamba trip gereji mwisho wa siku unakuwa mufilisi unauza kama screeperHuyo ndio mzuri, hata gari chakavu hutengezwa na kuwa mpya na thamani inapenda tenaa
Mafuta ya kuishi maisha ya kawaida yapo ila haya ya kick ndio itakuwa 🥴🥴
Nitaubeba tu huo msalabaz, kama una connection nae nipe aisee.. Nizeeke nae kufa na kuzikana 😅Ili chakavu haswaa trip shamba trip gereji mwisho wa siku unakuwa mufilisi unauza kama screeper
Yeahh kwahiyo huyo maisha anayoyajua ndio haya. Pesa halali ya jasho lake huyu itamuua mwaka hauishi. Kuisaka pesa ki decent huyu hakyanani hawez.yuko hivyo toka utoto wake, waliomundekeza wengine walienda jela
hahahah! huwa naulewa sana, sema vijana wameufundisha tabia mbaya... mie nataka niutunze niufundishe tabia nzurihahahahahaha
Hao wanachezea pesa , wamuulize wema alikuwa anahongwa mpaka na wanasiasa ila muda wake ulifika wakamtema .Wanawake wengi wanazubaa , maisha ya mjini unaweza kuranda kwenye mahoteli na viwanja vyote ila kuna siku utaona ulikuwa hauna haja ya kutumia pesa kiasi kile .Mtoto wake alisema hela kubwa kuhongwa ni 70M, akaitumia kununua gari.
Niliumia sana bora angejenga hata kibanda ale kodi.
mmmmh,kila la kherihahahah! huwa naulewa sana, sema vijana wameufundisha tabia mbaya... mie nataka niutunze niufundishe tabia nzuri
Utafute tu sina connectionNitaubeba tu huo msalabaz, kama una connection nae nipe aisee.. Nizeeke nae kufa na kuzikana 😅
sie ndio wataalamu wa kufufua mali zilizokufammmmh,kila la kheri
Trend ya mwanamke Huwa ni ya muda mfupi sana, UKIPATA TUMIA vilivyo, hawa watoto wa elfu mbili vina fujo sana huwezi shindana navoHao wanachezea pesa , wamuulize wema alikuwa anahongwa mpaka na wanasiasa ila muda wake ulifika wakamtema .Wanawake wengi wanazubaa , maisha ya mjini unaweza kuranda kwenye mahoteli na viwanja vyote ila kuna siku utaona ulikuwa hauna haja ya kutumia pesa kiasi kile .
Ukweli ni kwamba Kajala Anapitia Kipindi kigumu sana, na Harmonize anaweza kuwa ndo kachangia hii hali anayo Pitia Kajala Kwa Sasa.
Ni yeye tu Kesha haribu saikolojia yake, mbona umri bado forty something bado sana wakina Ronaldo still wanatamaba wakina Beyonce, jay z nkHuyu sio kwamba hana cha maana , majuto yake yapo kwenye nafasi alizozichezea , kama angekuwa mjanja hata kuanzia hapo anaweza kufanya cha maana ..Mtu akipata mil 10 , kesho safari ya Dubai akirudi hana kitu .
Mnatuchanganya! Wengine wanasema kasoma Kumbukumbu huku Mbuyuni.Wala msimsingizie Harmonize...
Kajala kaanza kupinda tangu akiwa binti mdogo shule ya msingi Mbuyuni hapo hata Harmonize hajazaliwa...
Kajala alikuwa ni aina ile ya wanafunzi ambao waalimu wakiwa wanatoa maonyo, wanasema msiwe kama fulani...
Kilicho mlostisha kajala ni kwenda jela ila huko nyuma alitumia nafas yake Kwa usahihiWala msimsingizie Harmonize...
Kajala kaanza kupinda tangu akiwa binti mdogo shule ya msingi Mbuyuni hapo hata Harmonize hajazaliwa...
Kajala alikuwa ni aina ile ya wanafunzi ambao waalimu wakiwa wanatoa maonyo, wanasema msiwe kama fulani...
hahaha!Utafute tu sina connection
Mnatuchanganya! Wengine wanasema kasoma Kumbukumbu huku Mbuyuni.
Hamkujisevia kibaba na kimama
Kilicho mlostisha kajala ni kwenda jela ila huko nyuma alitumia nafas yake Kwa usahihi