Kajala: Natamani muda urudi nyuma nianze upya nilipokosea, ila nashukuru napumua

Mjini akili tu, na ku calculate risk vizuri tu mambo mengine yanaenda . Nikifa nakucheki kitambo sana, nilishamaliza misala yangu yote sasa hivi nimenyooka kama rula πŸ˜…
Nlikuambiag ule msala mdg tu,mtu tu anataka kukuumiza kisaikolojia

Ova
 
Exactly mkuu. Japo mbali na upepo, unaweza ukawa na discipline tu na mambo yakaenda fresh kabisa ila kwa kukaza. Ndio hapa nasema haya kwa watu kama hawa yanakua sio maisha wanayoweza kuyapambania
Utagundua kila mtu kuna sehemu ana fit na kuna sehemu ukiwekwa unapelea, sasa ishu kuisikiliza sauti yako ya ndani inataka kufanya nini au power yako iko wapi ndio kitendawiliπŸ˜‚
 
Umepiga kwenye mshono mkuu Aya ya mwisho
 
Nlikuambiag ule msala mdg tu,mtu tu anataka kukuumiza kisaikolojia

Ova
hahaha! ndio umuhimu wa kukaa na nyie malegend, mwanzo nilikuwa na mchecheto sana, ulinivusha kwenye trick zako na uzoefu wako
 
Utagundua kila mtu kuna sehemu ana fit na kuna sehemu ukiwekwa unapelea, sasa ishu kuisikiliza sauti yako ya ndani inataka kufanya nini au power yako iko wapi ndio kitendawiliπŸ˜‚
Mfano mimi kweli kuna maeneo nimegunduaga nikiweke mkono mambo huwa hayasumbui sana. Eneo kama ufugaji.
Halaf kuna eneo kama biashara, hapa nikagundua uwezo wangu wa akili na kuhimili mikazo pamoja na nidhamu uuwa vinanisaidia.
Eneo ajira nimekuja kugundua huwa napata fursa ya kupendwa kulingana na performance yangu na uwezo wa kuleta changes but hapa ndipo eneo kwangu nimekua nakutana na vita kali sanaaaaaaa kwasababi ya chuki toka kwa watu , na ajira zote nimeishiaga iuacha kazi mwenyewe.

Kwahiyo ni kweli, ni muhim sana kujijua unapo fit na usipo fit na sababu
 
Kila jambo ulifanyalo lifanye kwa bidii kama kwa Bwana ili usije jilaumu baadye ukianza kujilaumu tu umekaribia kufa kifo cha kujitakua wewe
 
Iko hivyo, kuna baadhi ya Vipaji vinahitaji kishikwa mkono na watu sahihi, wanakuja kupata pesa kuzidi watu waliowasaidia kufika hapo. Yeye kama yeye hawezi hadi back up, lakini vipaji vingine haviitaj kushikwa mkono,
 
Yule atapigika sana trust me
Kikubwa kama nlivyokuambia aside na mawasiliano kata kabisa
Asijuwe ht unapoo kaa mshnz yule

Ova
hahaha! ndio dawa yao soon tutaonana viunga vya huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…