Kajala ni pandikizi anayeitafuna Konde Gang


Ukiwa maskini na unakula pisi Kali basi una yafuatayo,bado kijana sana so unatumia ujana wako na mda wako mrefu kuwafuatilia na kuwapiga Domo madem.Mara nyingi watu walio busy hawanaga mda wa kufuatilia madem,pia kukataliwa kwako sio ishu Kuna watu ni waoga pia wa kutolewa nje na madem.
 
Kwa hio kula piss Kali ni kutokuwa na kazi za kufanya, kula mbovu ndo unaonekana uko busy na life😁 bado sijajua umewaza kutumia nini anyway tafuta hela ukiendelea hivi utakuf mapema sana usiumie ndo maisha
 
Komaa na yako bana
Ya ngoswe mwachie ngoswe akiishiwa ni ttzo lake na baba na mama yake na familia yake
Tulio weng tumemjua kupitia mzk bas tufatilie mziki wake maisha yake binafsi hayatuusu
 
Kwa hio kula piss Kali ni kutokuwa na kazi za kufanya, kula mbovu ndo unaonekana uko busy na life😁 bado sijajua umewaza kutumia nini anyway tafuta hela ukiendelea hivi utakuf mapema sana usiumie ndo maisha
Jamaa kanichekesha sana eti ukiwa busy unakula pic mbovu hii ni akili ya wapi aisee kwa akili ya huyo jamaa tutafika tukiwa tumechoka sana
 
Kwa hio kula piss Kali ni kutokuwa na kazi za kufanya, kula mbovu ndo unaonekana uko busy na life😁 bado sijajua umewaza kutumia nini anyway tafuta hela ukiendelea hivi utakuf mapema sana usiumie ndo maisha
Jamaa amekujibu sahihi , huna mishe town ya kufanya uwe busy , so most of the time unajipodoa , kujipulizia marashi na kuhudhuria birthday za hao maslay qeen.. Yani wew kampani yako ni wadada ...!!
Sku ukiwa hustler harakat kama zote unadamka alfajir kupambana hata hao wadada hutawaona , mana hutakuwepo viwanja wanavyopendelea...ngoja ukue
 
Maisha ya mziki yananishangaza sana.

Unaambiwa Hamo kasaidiwa kutoa hela pale wcb ili atoke na analipa kidogo kidogo ili kurudisha hela ya watu,ni mil 600 ilitolewa

Alipotoka tu hata hajarudisha hela yote kaanza kukusanya watu kutengeneza label,kamtafuta Kajala,yale mav8 sijui nayo ya kupewa sasa huwa najiuliza haya maisha yote mara wapo sjui mbugan huko wanakula bata hizi hela zitarudi vipi

Ila kuna watu wana hela mpaka wameshindwa wazifanyie nini,600 mil unamtolea msanii wakat mziki wenyew ni bahat nasibu unaweza kubuma saa yoyote
 
Unaweza kuta Hamo ana stress za kufa mtu akiwa nyuma ya camera,labda hata usiku hapati usingiz hasa akifikiria mapesa anayoyatumia kwa siku
Mbona unateseka kujilamisha kwamba mtu anayeenjoy maisha yake kuwa ana stress 🙄🙄🙄🙄
 
Unamtetea kwasababu umezoea kupokea Wanawake mnapenda Wanaume maboya aina ya konde boy ili muwanyonye vizuri Harmo ana mfungulia Paula wakati yeye hata biashara ya nyanya hana

Tafuta pesa ili ujue Kati ya wewe na Hamo nani boya🙄🙄🙄
Pilipili iko shamba wewe unawashwa mjini. Maajabu haya🤣🤣🤣🤣
Unaumia Hamo akitumia pesa zake hadi unatia huruma
 
Eva Adam
Delilah Samson
...
...
...
...
 
Tafuta hela wewe na mwenzio ,,mnateseka sana..kwa hio perfume nayo ni utoto ,, ila kosa yote sio umasikini wa fikra..
 
Konde ni Mshamba tu na Itabaki kua bwege mpaka Yesu anarudi, Na Washamba tu ndo wataungana nae. Inafaida gan kufocuse katika mahusiano yasio na future na kuyagharamia ilihali dame yenyewe ni Mfugo.

Kujisifia pesa ati ndo ukule pisi mbovu ni ubovu wa akili pia.
Pesa Mingi pisi kali, Basi umekosa pesa otea hata pisi kali.
Basi kama wewe upo focused saaana Oa Mke na mlee watoto ntakuona wa Maana.
 
Mengi Mwenyew na Uzee wake wote ule lakin hakukubali kukosea pisi, Kosea vyote ila sio Mke. Better kawe kakawaida ila kadogoli kama Zuchu inatia faraja[emoji1787][emoji1787]
 
Sasa kajala nae ni piskali!!! Inachekesha alikua piskal zaman saiv ni pasco tu.. bibi kama yule unatumia garama za kazi gn?

Mademu aina ya kajala ni wazuri wakiwa na nguo tu akivua akabaki uchi utamkataa
 
Bahati mbaya yesu Bahati mbaya yesu hatarudi hivyo konde atakuwa mshamba milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…