Kaka anataka kuvunja ndoa kisa mdomo wa mkewe!

Basi nimekufananisha na mwalimu mmoja hivi mnyakyusa alihamia kutokea Mkoa wa Songwe na jina lake linaanzia na herufi G la ukoo M.

Anyway ngoja nimpage DEO wako tuje kukukagua..!! πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰

#YNWA
🀣Njooni,DEO mwenyewe msela yule🀸
 
Basi nimekufananisha na mwalimu mmoja hivi mnyakyusa alihamia kutokea Mkoa wa Songwe na jina lake linaanzia na herufi G la ukoo M.

Anyway ngoja nimpange DEO wako tuje kukukagua..!! πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰

#YNWA
Mi ni M na ukoo M
 
Beesmom
Chakorii
Championship
Prakatatumba abaabaabaa
computerarsenal
Southern Highland
Da'Vinci
mbarika

Someni hiyo πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
🀣Njooni,DEO mwenyewe msela yule🀸

Kuna halmashauri moja Songwe DEO - Msingi ni mmama.
Asiyee yule mnyakyusa ana mdomo balaaa.

Yaani siku niliyokutana nae nikajiuliza "sasa hiyo Halmashauri yake walimu wanaishije nae?""

Mnyakyusa ana mdomo yuleee

#YNWA
 
Kuna halmashauri moja Songwe DEO - Msingi ni mmama.
Asiyee yule mnyakyusa ana mdomo balaaa.

Yaani siku niliyokutana nae nikajiuliza "sasa hiyo Halmashauri yake walimu wanaishije nae?""

Mnyakyusa ana mdomo yuleee

#YNWA
🀣🀣🀣🀣Atakuwa mkyela huyo....siye wa tukuyu tunao ila wametuzidi
 
Mbona nawe una mapungufu,Kwa mfano dushe kutokusimama vyema,kutokuhudumia umpendae,hasira za haraka na kuchukulia poa mahusiano Yako unapoyaanzisha🀦

Haya yotee sio yangu.

Mi nipe nafasi ya wiki moja tu, utakula show Bora na utahudumiwa vizurii kabisaaa.
πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰

#YNWA
 
Karibu nikusemee unachowafanya wanawake then tukupe kichapo heavy😏

πŸšΆπŸΏβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΏβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΏβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΏβ€β™‚οΈ

#YNWA
 
Kwahiyo kwasababu kaka yako kaoa Mwanamke mwenye mdomo ndioo wengine wasioe??? Kwani wanawake wote wanamdomo???..... Wewe kama unaona kuoa hakuna mantiki baki na msimami wako, mbona unachukua mifano ya wanaoshindwa huleti ya wanaofanikiwa kwenye hizo ndoa???
 
Na Kwa mtazamo wake huu Bora asioe kabisa,maana mwanamke atakaeoa atanyanyasika sanaπŸ˜”
 

Soma hiyo πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Mi ni M na ukoo M

πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Aaah M na M
nimekumbuka siku ile nilivyo lala stend kuu Mbeya Jiji.
Nilifanya Kosa la kiufundi sanaaa mjini PM..
πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…