King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Poleni Ndugu , Jamaa na Marafiki.Taarifa zilizotufikia kutoka Chadema zinaeleza kwamba Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa chama hicho amelazimika kukatisha kampeni za operesheni haki huko Zanzibar na kurejea Tanganyika baada ya kupokea taarifa za kifo cha Kaka yake aitwaye Charles Mbowe.
View attachment 1845577
Kwa niaba yangu binafsi na familia yangu na kwa niaba ya wanajf wote , nachukua nafasi hii kumpa pole kamanda Mbowe na ndugu zake kwa msiba huo .
INNALILLAH YA INNALILLAH RAJUUN .
View attachment 1845579
HAJAWAHI kuua mtu Kama Jiwe MwendazakeNaye ameenda kama MWENDAZAKE,
Corona au
Nauliz hivyo kwa sababu vijana wa chadema huwa mnadhani wale wafuasi wa CCm wanaokufa wote ni kwa kutofata taratibu za kujikinga, pia wote wanaokufa ni corona.
Na mmekuwa mkitoa pole za kejeli je huyo nae hakupata chanjo?
Nawapeni pole makamanda ila kifo hakina chama wala mjanja.
Muwe na staha wanapokufa wa upande mwingine kwani wote ni binadam.
Nasema hivyo baada ya kifo cha yule diwani pale moshi, kuna comment humu zulikua zinakera.
Kama ni Uviko, familia ya Mbowe haiwezi kuficha, itaujulisha umma. Maradhi na kifo, siyo vitu vya aibu, hakuna aliye na uwezo wa kuvizuia.Uviko au?
poleni kwa msiba, pole mheshimiwa MboweTaarifa zilizotufikia kutoka Chadema zinaeleza kwamba Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa chama hicho amelazimika kukatisha kampeni za operesheni haki huko Zanzibar na kurejea Tanganyika baada ya kupokea taarifa za kifo cha Kaka yake aitwaye Charles Mbowe.
View attachment 1845577
Kwa niaba yangu binafsi na familia yangu na kwa niaba ya wanajf wote , nachukua nafasi hii kumpa pole kamanda Mbowe na ndugu zake kwa msiba huo .
INNALILLAH YA INNALILLAH RAJUUN .
View attachment 1845579
Hazituhusu.Apumzike kwa amani Charles Mbowe.
Familia ya Mh. Mbowe ionyeshe mfano kwa kuweka sababu za kifo hadharani na kwa uwazi.
Mola awape nguvu na ustahimilivu katika kipindi hiki kigumu.
Hazituhusu.
Charles Mbowe hakuwa public figure. Ni ndugu wa mwanasiasa lakini sio mwanasiasa mwenzake. Muache apumzike kwa amani.
Amandla...
R.I.P bro Charles enzi za hard rock cafe billicanas (bills) ilikua so mchezo kule juuDuh Pole kwa familia ya akina Mbowe,enzi za ujana miaka ya 80&90 Charles muda wote alikuwa kwenye viunga vya Mbowe hotel (bills).
Jambo la heri kwa nani? Uliwahi kumsikia marehemu kabla ya umauti kumkuta? Uamzi wa kutoa sababu za kifo cha mtu yeyote asiyekuwa public figure ni wa familia na hamna mtu mwenye haki ya kulazimishataarifa hiyo itoke. Hapo uliko bila shaka umeishawahi kufiwa na watu wako wa karibu na hatujakusikia ukija JF kutoa taarifa zao na sababu za kifo chao.Apumzike kwa amani Charles Mbowe.
Kuweka wazi sababu ya kifo cha binadamu yoyote ni jambo la kheri kuliko kuvumbua jina jipya la ugonjwa na kumvesha marehemu.
Ugonjwa uliomwua marehemu haubadiliki kwa kuupa jina jipya.