TANZIA Kaka wa Freeman Mbowe, Charles Mbowe afariki Dunia

yaani huyo mama aliyeandika kaandika kinafiki sana eti wanachadema mpuuzi kweli mnafiki huyo
Wewe ndio mnafik. Amesema taarifa amepata kutoka Chadema, kosa liko wapi? Amesema marehemu ni kaka wa Mwenyekiti wa Chadema, kosa liko wapi? Wapi aliposema kuwa msiba huu ni wa wanachadema peke yao na kuwa marehemu alikuwa Chadema?

Acha unafik. Si tabia nzuri kumsingizia mtu kitu ambacho hajasema.

Amandla...
 
Kamanda FHMbowe, Familia, Ndugu na Jamaa, Poleni sana kwa msiba wa Kaka yetu. Mwenyezi Mungu awape ujasiri wa kuyapokea magumu na mazito haya ili tuweze kuyakimilisha yale yanayotupasa kwa marehemu wetu. Aidha, Mwenyezi Mungu Aipunzishe roho ya marehemu mahali pema peponi. Amin, kwani ni wa Kwake na amerudi Kwake. Amin
 
Pole kwa familia ya Mbowe. Bwana alitoa, Bwana ametwaa.
 
Hawa wajinga huwa wanafanya nadharau sana hata mambo yao wanayojifanya wanasisitiza kama kukosoa serikali,wana utoto wa kipumbavu sana.
 
Nimeona wengi hutumia niaba kama kwa ajili ambapo ni makosa
... ni kweli Chief; hadi viongozi wakuu wanachapia hadi unashangaa. "Kwa niaba ya ..." means unamwakilisha mtu mwingine; you are speaking or you are there to represent someone else; sasa ukisema "Kwa niaba yangu ..." wakati msemaji ni wewe mwenyewe au uko pale wewe mwenyewe sijui unajiwakilisha vipi wewe mwenyewe.

Sema hivi, "Mimi binafsi na kwa niaba ya ..." au "Kwa niaba ya ... na kwa nafsi yangu ...". Hicho ndio Kiswahili fasaha.
 
Sasa ole wako uulize sababu ya kifo ni nini au uhusishe na Corona uone matusi yake na kuambiwa huna akili, wengine watakuuliza una elimu gani wengine watakuja na maneno maneno kuwa huna utu n.k

Ila akifa mtu wa upande tofauti tu na itikadi zao hawaulizi chanzo wao moja kwa moja wanapitisha tu ni Corona bila kupepesa macho tena hata ikitajwa sababu gani haita kubalika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…