Kaka wa Lissu aelezea masikitiko yao juu ya haki ya mdogo wake, adai watapambana hadi haki ipatikane

HAKI HUINUA TAIFA
 
Usichokijua ,kabudi hakufanya hayo kwasababu ya sheria za nchi

Ila kumbukeni tambiko lakwanza la lisu kilichotokea

Sasa ,inatambikwa gari tusubirie tuone

..Sheria gani?

..Unafikiri Adv.Alute Mughwai hajui sheria kiasi kwamba aombe msaada ambao ni batili kisheria toka kwa Waziri na Mwanasheria Mkuu?

..Na kama ombi la familia ya Lissu lilikuwa kinyume na sheria, kwanini Waziri, na Mwanasheria Mkuu, hawakujitokeza na kutoa taarifa kwamba wamelitupilia mbali kwasababu lipo kinyume na sheria?
 
Kwamba,alichojibu kipindi kabudi mbele ya familia ya lisu ,hakikuwa sheria bali amri


Sasa,ndo lisu anashinda na mahakama ya jamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…